Peter Dafi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 392
- 272
Imani inaniambia huenda Bado tukawa na Mwingine Mkubwa na Mzuri wa namna hii, Lakini Nawaza tu Sijui ni lini tutaacha Kuuwa Hawa Nyoka kwani Kimsingi tunaweza mfukuza akaenda Porini huko ili kumtunza na tukawa na Utalii Mzuri wa Nyoka hawa baadae. Mfano tukiamua kuwatangaza hawa tunaweza tukawa na Utalii Mzuri wa Kuona Nyoka hawa tu Kwa Mkoa wetu wa Tabora!Urambo.
![]()