Mmmh huu upotoshaji usifuatwe ni hatari kwa maisha yako.Siku moja tulikuwa site maporini huko tunafanya survey, ghafla tukakutana naye
Bahati nzuri tulikuwa na Wazee Fulani wa Kimila, walitema mate Chini ghafla yule Koboko akageuza njia haraka kutupisha na kutokomea maporini zaidi [emoji119]
Kwanini Mkuu?Mmmh huu upotoshaji usifuatwe ni hatari kwa maisha yako.
Tabora kuna wazee akikutana na nyoka, huyo nyoka anakimbia mwenyewe...Kwanini Mkuu?
Umewahi kufanya project za Vijijini? Hayo mambo hutokea sana Mkuu 😅
Sio koboko tu....nyoka wote wanaogopa wakikuona unatema mate, wanajua yana sumu kama yaoSijui kama alikuwa ni Koboko mtu ama Koboko kweli ila baada ya kutema mate wale Wazee yule Koboko aliondoka mwenyewe bila kutudhuru.
Niamini
Hakuna kisicholiwa dunia hiiAnaliwa?
Anataka kutuua huyu😂😂😂hii kamba mzee mwenzangu
Ajali?yule jamaa ni noma japo anapataga ajali pia
Unavaa mavazi maalumu za kuzuia sumuTatizo la Black mamba ye hajui kama unafanya usamaria unampeleka kwenye makazi yake.
Lazima akunyime ushirikiano
ni kavutwa anyumbulike au ndo urefu wake huo🙄🙌🏾
Hayo unafanya wewe mwenyewe au kuna anayefanya?. Kuna dawa za asili za kuchanjia mwilini, nyoka yoyete yule akikuona atadhani ni nyoka mwenzie, hivyo hawezi kukufanya chochote.
. Bila kumsahau mamba pia kuna dawa za kuchanjia, hata ukiogolea na mamba sehem moja hawawezi kukudaka, watadhani na wewe ni mamba mwenzie.
NB: Majivu ya nyoka kazi yake kuu, hutumika kugandisha hasa wanaofanya uzizi na mke wa mtu au na mme wa mtu.
Mwambie km anavyorefuka yule nyoka anaemuingia pangoni, atakuelewaNi urefu wake, anarefuka zaidi ya hapo.
Hiyo ni mashine kubwa
TOA maelezo hapa wanaopenda kuroga, Wanga, vigagu, vigagula, samvu la chole almaarufu km wachawi wasio rasmi wachukue NOTICENB: Majivu ya nyoka kazi yake kuu, hutumika kugandisha hasa wanaofanya uzizi na mke wa mtu au na mme wa mtu.
Ukienda nyumba za makuti.. Utapata hayo.. Ni rahisi tu ukielekezwa..Hayo unafanya wewe mwenyewe au kuna anayefanya?