Koboko aka Black Mamba

Imani inaniambia huenda Bado tukawa na Mwingine Mkubwa na Mzuri wa namna hii, Lakini Nawaza tu Sijui ni lini tutaacha Kuuwa Hawa Nyoka kwani Kimsingi tunaweza mfukuza akaenda Porini huko ili kumtunza na tukawa na Utalii Mzuri wa Nyoka hawa baadae. Mfano tukiamua kuwatangaza hawa tunaweza tukawa na Utalii Mzuri wa Kuona Nyoka hawa tu Kwa Mkoa wetu wa Tabora!
 
TOA maelezo hapa wanaopenda kuroga, Wanga, vigagu, vigagula, samvu la chole almaarufu km wachawi wasio rasmi wachukue NOTICE
Ni mbaya hii mkuu... Code za namna hii huwezi kupewa kiurahisi..

. Siyo majivu ya nyoka tu, hata majivu ya mbwa pia yanafanya kazi vizuri sana kugandisha wapenda wake za watu .
 
Ni mbaya hii mkuu... Code za namna hii huwezi kupewa kiurahisi..

. Siyo majivu ya nyoka tu, hata majivu ya mbwa pia yanafanya kazi vizuri sana kugandisha wapenda wake za watu .
SITAKI agandane mke wangu nataka dushe igeuke barafu au kipande cha mtu hata kukojoa asiweze kwenda kukojoa CHOONI
 
Tanzania hatuna pori tengefu kwaajili ya nyoka.
Watu wetu hawana elimu ya kuhifadhi nyoka.
Wenzetu India wamefanikiwa kuwahifadhi Kobra na wenyeji huko wameelimishwa kiasi cha kutosha kuhusu viumbe hao.

Labda tuanze sasa kukusanya nyoka tukawahifadhi kwenye kisiwa cha Saananne, Rubondo au hifadhi ya Gombe
 
SITAKI agandane mke wangu nataka dushe igeuke barafu au kipande cha mtu hata kukojoa asiweze kwenda kukojoa CHOONI
Nenda Tanga-Korogwe-Hale, sehemu inaitwa mtaa wa mto Wa mbuzi...

Nenda kaulizie hayo maeneo utampata mtaalam wa hivyo.
 
Dude hata likiwq limekufa bado mifupa yake ina sumu la nini sasa, wamefanya vizuri kuliua
 
kwa akili za wabongo ulitaka wamuombe kumuua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…