Kweli, hata mm Hawa nyoka wa kawaida wengi mno huwa nawaacha apite zake aende. Kwanza sina ubavu wa kuua nyoka na uzuri huwa nakutana tu na Hawa wa kawaida ambao nao ni waoga tu km mm.Mimi ningemwacha tu aende
Nimeisha wasamehe wengi na kuwaacha waendelee kuishi
Shambani kwangu wapo wengi (sio koboko)
Na huwa nawasalimia tu
Tatizo huyu mdudu ni mkorofi, unaweza kumwacha kiroho safi ukawa ndo umetangaza kifo,Mimi ningemwacha tu aende
Nimeisha wasamehe wengi na kuwaacha waendelee kuishi
Shambani kwangu wapo wengi (sio koboko)
Na huwa nawasalimia tu
Hapa nimeelewa sasa kumbe koboko ndo black mamba...Puff adder ni kifutu ambae ni mfupi na wanauwa sana kuliko hata koboko
Koboko ndio huyu wanaogopa hata kumtaja jina na ndio huyu black mambas
Huyu hapa anaezungumziwa
Hebu msome kidogo View attachment 766058
Ukikutana nae unazimia tu kwa hofu hahhahaHapa nimeelewa sasa kumbe koboko ndo black mamba...
Aloo picha tu inatisha sijui kukutana naye inakuwaje
Jamaa wame comment hapa kwamba koboko ndio black mamba kwa kiingereza. Na kifutu ni puff adder.Nami ndivyo nijuavyo...
black mamba ni warefu wembamba (kama kwenye picha hiyo) wanaruka balaa, kuna ambao ni kijani na kuna weusi
Kifutu ni wanene wafupi (kama jina lilivyo) hawa hawadonoi ovyo lakini akikudonoa basi... "mazishi saa7" kwa wale kuruta wa kambi za Mafinga na Mbeya nadhani wanajua shughuli ya hao vifutu wakati wa ku-roll
Kuna mwingine (tunahadithiwa) ni mrefu anasimama kisha anadonoa watu utosini (na ndo anayepiga vigelegele nadhani)
Sasa sijajua huyo koboko yupo kundi gani katika hayo
Koboko si kwetu tunamwita KISANGANami ndivyo nijuavyo...
black mamba ni warefu wembamba (kama kwenye picha hiyo) wanaruka balaa, kuna ambao ni kijani na kuna weusi
Kifutu ni wanene wafupi (kama jina lilivyo) hawa hawadonoi ovyo lakini akikudonoa basi... "mazishi saa7" kwa wale kuruta wa kambi za Mafinga na Mbeya nadhani wanajua shughuli ya hao vifutu wakati wa ku-roll
Kuna mwingine (tunahadithiwa) ni mrefu anasimama kisha anadonoa watu utosini (na ndo anayepiga vigelegele nadhani)
Sasa sijajua huyo koboko yupo kundi gani katika hayo
Yap! Huyu hana hasira za hovyo, ila inasemekana pia ni mkosi ukikutana nae (kwa waaminio mambo ya kimila)Anhaaa ila wao hawana hasira km za hilo dude, maana kwa jinsi nilivyopitia comments za wadau humu basi hakika mama yetu tusingekuwa nae kbs.
Hahahah......Ni balaa hicho kifaa kinaweza kuua watu mia in 5min acha tu,huku kwetu ushirombo ndo vipo,kuna siku nimekutana nacho kinavuka barabara ya vumbi,nikasimama nikarudi nyuma na corola yangu nikakipitia shaaaaaah kumbe sikukigonga kikanasa chini ya gari,bahati nzuri nilikua naenda mwendo mrefu,kufika lami nikaona kitu kimeanguka kwa nyuma dah nikashukuru sana,nikawaza ni vp ninheenda nacho home?
Kumbe, ila sie kwetu alikuja, ni km alikuwa anapita tu maana alimpitia mama chini ya kiti bila kumdhuru ila ile hofu tu ndio mama akaanza kumpiga.Yap! Huyu hana hasira za hovyo, ila inasemekana pia ni mkosi ukikutana nae (kwa waaminio mambo ya kimila)
Maana huyu asilimia kubwa huwa anamilikiwa na majini au mashetani (kwa mujibu wa wazee)
Hahahaha eti waoga kama weweKweli, hata mm Hawa nyoka wa kawaida wengi mno huwa nawaacha apite zake aende. Kwanza sina ubavu wa kuua nyoka na uzuri huwa nakutana tu na Hawa wa kawaida ambao nao ni waoga tu km mm.
Hahahaha kwakweli mm siwapendi, sipendi hata kuwaona ila pia nachukia watu wanaowaua bila sababu. Km hajakuingilia ndani umekutana nae yuko kwenye mishe zake unamuacha tu anaenda zake.Hahahaha eti waoga kama wewe
Mimi nawapenda kwani uwepo wao wanatusaidia sana kwa kuwala viumbe waharibifu zaidi kama panya
Natamani kuwafuga ila hawana urafiki kihivyo
Sawaka Yale yenye mabaka mabaka? nahisi ndio hayo yapo hata makumbusho ya bujora Mwanza.Vibaya sana
Na sawaka walikuwa wengi sana na wakubwa kuliko hawa wa sasa
Koboko yeye ana asili ya ushari na anapenda ligi sanaTatizo huyu mdudu ni mkorofi, unaweza kumwacha kiroho safi ukawa ndo umetangaza kifo,
Yaani nikienda Porini huwa sisahau sime
Yaani huyu jamaa ni mbaya kuliko ubayaHapa nimeelewa sasa kumbe koboko ndo black mamba...
Aloo picha tu inatisha sijui kukutana naye inakuwaje
Koboko anakula jani pedwa???Koboko wanapogombana na mmoja akazima,aliebaki uwa kuna majani anaenda anayatafuna na kuja kumwekea mwenzie aliezima ili aamke waendelee na mtanange...sema anapoenda kuyafata hayo majani huwa makini asionekane na mtu,kwasababu nasikia ni dawa pia kwa binadamu akiumwa na koboko.
Koboko sio mgomvi kiivo sana labda awe kajeruhiwa.nimefanya kazi chunya kipindi fulani huko nyuma,getini kuingilia ofisini kwa pembeni kuna kichuguu anaishi,mkubwa kabisa.saa 5 hivi anatoka kwenda kula kaya na kabda jua alijazama anarudi jicho nyanya.Sema usikae kwenye njia yake kwasababu habadili njia.
Koboko ni mtemi sana,ukikutana nae akasimama tulia tuli,huku ukiomba sala zako...atakutizama wee baadae akikuona we boya tu anashuka chini anasepa sema inataka moyo macho yake kama yanawaka moto kumtizama hasa akitoka kula jani pendwa.
ππππ wenyeji wanasema ni kawaida yao hao nyoka(green mamba) kuanguka darasani na kwenye vijiwe vya kahawa vilivyo chini ya miti, kwa kupenda kwao stories.Hahahahahahaha labda anapenda siasa sana, na rangi yake hiyo anatamanije awe hata diwani
I seeKoboko si kwetu tunamwita KISANGA
KIFUTU tunamwita MOMA (kijijini kwetu kuna jamaa ye kazi yake ni kutibu majeruhi wa Nyoka... Hivyo tunamwita MADINGA PERA CHIBOKO YA MOMA) hii ni kwa sababu uking'atwa na huyo KIFUTU au MOMA kama tunavyomwita sisi, yeye anauwezo wa kukutibu na ukapona kabisa bila kupata tatizo lolote
Na unaweza kuta mtu hadi anakufa wala hajarithisha mtu hata kuwafundisha wengine, imagine Mwanamalundi alipokufa na hadithi yake ikaishia hapo.I see
Halafu watu kama hawa mpaka wanakufa na elimu yao
Huyu ingekuwa binadamu wanaojielewa Leo angekuwa kaandika na vitabu na anaheshimika kwa uvumbuzi wa tiba hizi
Inasikitisha sana tunavyopoteza ujuzi
Bora Africa isingefuata mifumo hii ya wazungu tukaishi bila Rais na serikali maana haisaidii watu kama hawa
Kama akiingia nyumbani watu wanachanganyikiwa sana na hapo anahamaki na yeyeHahahaha kwakweli mm siwapendi, sipendi hata kuwaona ila pia nachukia watu wanaowaua bila sababu. Km hajakuingilia ndani umekutana nae yuko kwenye mishe zake unamuacha tu anaenda zake.
Ila km yumo ndani hapo ndio habari ingine.