Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Mimi ningemwacha tu aende
Nimeisha wasamehe wengi na kuwaacha waendelee kuishi
Shambani kwangu wapo wengi (sio koboko)
Na huwa nawasalimia tu
Kweli, hata mm Hawa nyoka wa kawaida wengi mno huwa nawaacha apite zake aende. Kwanza sina ubavu wa kuua nyoka na uzuri huwa nakutana tu na Hawa wa kawaida ambao nao ni waoga tu km mm.
 
Nami ndivyo nijuavyo...

black mamba ni warefu wembamba (kama kwenye picha hiyo) wanaruka balaa, kuna ambao ni kijani na kuna weusi

Kifutu ni wanene wafupi (kama jina lilivyo) hawa hawadonoi ovyo lakini akikudonoa basi... "mazishi saa7" kwa wale kuruta wa kambi za Mafinga na Mbeya nadhani wanajua shughuli ya hao vifutu wakati wa ku-roll

Kuna mwingine (tunahadithiwa) ni mrefu anasimama kisha anadonoa watu utosini (na ndo anayepiga vigelegele nadhani)

Sasa sijajua huyo koboko yupo kundi gani katika hayo
Jamaa wame comment hapa kwamba koboko ndio black mamba kwa kiingereza. Na kifutu ni puff adder.
 
Nami ndivyo nijuavyo...

black mamba ni warefu wembamba (kama kwenye picha hiyo) wanaruka balaa, kuna ambao ni kijani na kuna weusi

Kifutu ni wanene wafupi (kama jina lilivyo) hawa hawadonoi ovyo lakini akikudonoa basi... "mazishi saa7" kwa wale kuruta wa kambi za Mafinga na Mbeya nadhani wanajua shughuli ya hao vifutu wakati wa ku-roll

Kuna mwingine (tunahadithiwa) ni mrefu anasimama kisha anadonoa watu utosini (na ndo anayepiga vigelegele nadhani)

Sasa sijajua huyo koboko yupo kundi gani katika hayo
Koboko si kwetu tunamwita KISANGA

KIFUTU tunamwita MOMA (kijijini kwetu kuna jamaa ye kazi yake ni kutibu majeruhi wa Nyoka... Hivyo tunamwita MADINGA PERA CHIBOKO YA MOMA) hii ni kwa sababu uking'atwa na huyo KIFUTU au MOMA kama tunavyomwita sisi, yeye anauwezo wa kukutibu na ukapona kabisa bila kupata tatizo lolote
 
Anhaaa ila wao hawana hasira km za hilo dude, maana kwa jinsi nilivyopitia comments za wadau humu basi hakika mama yetu tusingekuwa nae kbs.
Yap! Huyu hana hasira za hovyo, ila inasemekana pia ni mkosi ukikutana nae (kwa waaminio mambo ya kimila)

Maana huyu asilimia kubwa huwa anamilikiwa na majini au mashetani (kwa mujibu wa wazee)
 
Mambo ya kuchimba dawa haya hata sitaki kuyasikia, tukawa tumetoka zetu field basi tumetembea umbali mrefu tukasema tuchimbe dawa porini. Yaan isingekuwa uzoefu wa dereva kusikia huo mlio wa kuku jamaa lingetumaliza wote. Sie tulijua ni kuku tu, ila yule mzee akasema tusishuke kwanza na tuhakikishe vioo vyote vimefungwa vzr.
Tulipofika kijiji cha mbele ndio tukakuta story za hilo dude kwenye hilo pori. By then sikutetemeka sana maana nilikuwa simjui tabia yake, nilichukulia poa tu.
Ila kwa comments za wadau humu ndio naona hatari iliyokuwa mbele yetu.
 
Ni balaa hicho kifaa kinaweza kuua watu mia in 5min acha tu,huku kwetu ushirombo ndo vipo,kuna siku nimekutana nacho kinavuka barabara ya vumbi,nikasimama nikarudi nyuma na corola yangu nikakipitia shaaaaaah kumbe sikukigonga kikanasa chini ya gari,bahati nzuri nilikua naenda mwendo mrefu,kufika lami nikaona kitu kimeanguka kwa nyuma dah nikashukuru sana,nikawaza ni vp ninheenda nacho home?
Hahahah......
 
Yap! Huyu hana hasira za hovyo, ila inasemekana pia ni mkosi ukikutana nae (kwa waaminio mambo ya kimila)

Maana huyu asilimia kubwa huwa anamilikiwa na majini au mashetani (kwa mujibu wa wazee)
Kumbe, ila sie kwetu alikuja, ni km alikuwa anapita tu maana alimpitia mama chini ya kiti bila kumdhuru ila ile hofu tu ndio mama akaanza kumpiga.
 
Kweli, hata mm Hawa nyoka wa kawaida wengi mno huwa nawaacha apite zake aende. Kwanza sina ubavu wa kuua nyoka na uzuri huwa nakutana tu na Hawa wa kawaida ambao nao ni waoga tu km mm.
Hahahaha eti waoga kama wewe
Mimi nawapenda kwani uwepo wao wanatusaidia sana kwa kuwala viumbe waharibifu zaidi kama panya
Natamani kuwafuga ila hawana urafiki kihivyo
 
Hahahaha eti waoga kama wewe
Mimi nawapenda kwani uwepo wao wanatusaidia sana kwa kuwala viumbe waharibifu zaidi kama panya
Natamani kuwafuga ila hawana urafiki kihivyo
Hahahaha kwakweli mm siwapendi, sipendi hata kuwaona ila pia nachukia watu wanaowaua bila sababu. Km hajakuingilia ndani umekutana nae yuko kwenye mishe zake unamuacha tu anaenda zake.
Ila km yumo ndani hapo ndio habari ingine.
 
Tatizo huyu mdudu ni mkorofi, unaweza kumwacha kiroho safi ukawa ndo umetangaza kifo,

Yaani nikienda Porini huwa sisahau sime
Koboko yeye ana asili ya ushari na anapenda ligi sana
Yaani anaweza akawa yupo mawindoni akakuona tu na panya anamuacha anaanza kunoa meno kwako
Wahutu wanaokata magogo porini na Waha wanamuelewa sana huwa wanakaa pamoja lakini kwa machale sana

Silaha lazima, sisi tumefundishwa kabisa ni lazima uwe hata na fimbo kila wakati unapotembea kwani huwezi jua
Chochote kinaweza kutokea kwa hiyo hata fimbo inaweza kuwa kinga yako kubwa
 
Koboko wanapogombana na mmoja akazima,aliebaki uwa kuna majani anaenda anayatafuna na kuja kumwekea mwenzie aliezima ili aamke waendelee na mtanange...sema anapoenda kuyafata hayo majani huwa makini asionekane na mtu,kwasababu nasikia ni dawa pia kwa binadamu akiumwa na koboko.
Koboko sio mgomvi kiivo sana labda awe kajeruhiwa.nimefanya kazi chunya kipindi fulani huko nyuma,getini kuingilia ofisini kwa pembeni kuna kichuguu anaishi,mkubwa kabisa.saa 5 hivi anatoka kwenda kula kaya na kabda jua alijazama anarudi jicho nyanya.Sema usikae kwenye njia yake kwasababu habadili njia.
Koboko ni mtemi sana,ukikutana nae akasimama tulia tuli,huku ukiomba sala zako...atakutizama wee baadae akikuona we boya tu anashuka chini anasepa sema inataka moyo macho yake kama yanawaka moto kumtizama hasa akitoka kula jani pendwa.
Koboko anakula jani pedwa???
 
Hahahahahahaha labda anapenda siasa sana, na rangi yake hiyo anatamanije awe hata diwani
😀😀😀😀 wenyeji wanasema ni kawaida yao hao nyoka(green mamba) kuanguka darasani na kwenye vijiwe vya kahawa vilivyo chini ya miti, kwa kupenda kwao stories.
 
Koboko si kwetu tunamwita KISANGA

KIFUTU tunamwita MOMA (kijijini kwetu kuna jamaa ye kazi yake ni kutibu majeruhi wa Nyoka... Hivyo tunamwita MADINGA PERA CHIBOKO YA MOMA) hii ni kwa sababu uking'atwa na huyo KIFUTU au MOMA kama tunavyomwita sisi, yeye anauwezo wa kukutibu na ukapona kabisa bila kupata tatizo lolote
I see
Halafu watu kama hawa mpaka wanakufa na elimu yao
Huyu ingekuwa binadamu wanaojielewa Leo angekuwa kaandika na vitabu na anaheshimika kwa uvumbuzi wa tiba hizi

Inasikitisha sana tunavyopoteza ujuzi
Bora Africa isingefuata mifumo hii ya wazungu tukaishi bila Rais na serikali maana haisaidii watu kama hawa
 
Na unaweza kuta mtu hadi anakufa wala hajarithisha mtu hata kuwafundisha wengine, imagine Mwanamalundi alipokufa na hadithi yake ikaishia hapo.
 
Hahahaha kwakweli mm siwapendi, sipendi hata kuwaona ila pia nachukia watu wanaowaua bila sababu. Km hajakuingilia ndani umekutana nae yuko kwenye mishe zake unamuacha tu anaenda zake.
Ila km yumo ndani hapo ndio habari ingine.
Kama akiingia nyumbani watu wanachanganyikiwa sana na hapo anahamaki na yeye

Kawaida yetu wa Africa na Asia pia nimeona tukiona nyoka hata kenge tutapiga kelele utafikiri kelele ndio zinauwa

Kama hauna uwezo wa kumkamata na kumpeleka porini basi kumuuwa ni sawa maana yupo ndani
Lakini umemkuta porini halafu unaanza kupambana nae kama ndio kilichokupeleka huo ni uonezi
Huwa nawaza mengi sana
Ana familia na hata watoto mjue hahaha
 
Back
Top Bottom