Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Hakuna ushahidi wa kisayansi unao onyesha kuwa huwa linanyonya sumu,sumu ikishaingia kwenye damu inachanganyika na damu,ili uinyonye itabidi unyonye damu.
Jiwe lipo mkuu hata mim nmewai sana kushuhudia kama unasuma likiwekwa linanasa sumu ikisha linaachia bila hil jiwe vifo vyanyoka nange vngekua vingi mana hospital ningum vjijin
 
Ukinywa hiyo ngoka wa chini ya kitovu anakua na sumu kali sana na ana uwezo wa kuingia shomoni na kutoka mara nyingi zaidi bila kuchoka
Na kila mara lazima tui la nazi lirushwe mbali zaidi.
 
Kuna majukwaa na threads tofauti ambapo unaweza kuongelea polisi, mfalme, nyuki etc na pia sio lazima upendezewe na wanachopendezewa wewe, wape uhuru wale wanaopenda masimulizi ya koboko na usionekane kukereka
 
Jiwe lipo mkuu hata mim nmewai sana kushuhudia kama unasuma likiwekwa linanasa sumu ikisha linaachia bila hil jiwe vifo vyanyoka nange vngekua vingi mana hospital ningum vjijin
Tatizo ni ushahidi wa kisayansi.
 
King Cobra na ujanja wake wote hawezi kumfikia Koboko aliyekomaa.
 
Samaki anachora tatoo[emoji1] [emoji1]
Maumivu anayoyapata hapo kama ni haja zote zimetoka tena bila yeye kujijua.

Wana maumivu makali sana hao
Niliguswa na jamii ya huyo yaani maumivu yalikuwa ni makali sana lakini sio kama ya huyu
 
Ushahidi unaonyesha kuwa ukiwa na bahati unaweza kupona,kuna watu kama wawili hivi waliogongongwa na Koboko na kulazwa ICU na kuwekwa kwenye Life Support Machine bila ya Antivenin na kwa bahati nzuri walipona,tukio hili lilotokea huko Zimbabwe.
Mkuu achana na story za Zimbabwe, wewe uliza hata hapo ulipo kuna wazee wanajua mziki wa huyo koboko hakuna kupona eti kwa kupelekwa hospitali. Nachojua tu maeneo ya Kakonko kuna mzee mmoja anatibu kwa kutumia miti pori sikuwahi kusikiwa mwingine yeyote mahali popote.Urambo kule waligongwa watu wawili walikuwa porini wanachana mbao hawakuchukua hata dakika hamsini.
 
Hao walikosa tiba wa Urambo
Lakini wapo wazee wanatibu aina nyingi za sumu ya nyoka.
Kama hujawahiwa ni kwaheri
Lakini wapo wanaopona
 
2003 ulikuwa la tano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…