Kichogo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 2,094
- 3,218
Jiwe lipo mkuu hata mim nmewai sana kushuhudia kama unasuma likiwekwa linanasa sumu ikisha linaachia bila hil jiwe vifo vyanyoka nange vngekua vingi mana hospital ningum vjijinHakuna ushahidi wa kisayansi unao onyesha kuwa huwa linanyonya sumu,sumu ikishaingia kwenye damu inachanganyika na damu,ili uinyonye itabidi unyonye damu.