Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,020
- 6,161
Gilai karibu na mlima Oldonyo Lengai.Ilitoke mwaka 2004 sehemu inaitwa gilai karibu na lake natron . Huyu docta alikuwa anaenda kutibu kwenye maboma ya wamasai bahati mbaya gari likaharibika ikabidi ashuke kurekebisha ndio kwa bahati mbaya akakutwa na huyu nyoka... Hawa nyoka wanapenda sehemu zenye joto.
Karibu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nimecheka kama mazuri kumbe cha Atown anapandisha ndo maana kapinda asante kwa kutujuza!!
koboko ndiyo huyo black mamba .
ana akiri sana
ana kula mti wa bhangi
ana ngata kichwa na shingo tuu
ana sumu kali
ana wika kama jogoo
aja wahi kutembeea kichwA chini yaani siku zote kichwa chake kipo juu kama kasimama vile
ana kwepa mawe
ana ruka kama panzi nk
Ndio alining'ata Cha ajabu adi saivi Niko fuesh tu Yani ..ile sumu yake inatokana na damu yako asa kwenye magurupu Yale..😀😀😀Punguza bangi au acha kabisa
Alikucheki kwa dharau[emoji16]Jana nimekutana na koboko Ila hakunifanya chochote. Alisimama alafu anakucheki kwa juu hiv ..Ni mrefu balaa
Kwa hapa nchini kwetu wanapatikana kwa wingi kwenye mapori na vichaka mkoani Tabora. Wakazi wa Tabora ndio wanamjua vema huyu nyoka. Kiufupi huyu nyoka ni hatari kupita maelezo, ndiye nyoka mwenye sumu kali kuliko aina zote za nyoka barani Africa.Mmmmhhh aiseee hawa nyoka wanapatikana wapi hasa kwa hapa tz,makazi yao wanaopenda maana ni zaidi ya hatari,tiba ya haraka ya bite?
niko sehemu yenye joto, nimesisimka kwa comment hiiNi hatar sana.Nasikia anapatikana maeneo ya joto sana.
Huyu mshenzi laanakum kaanzishiwa thread zaidi ya kumi hapa JF...
Hii takataka sio ya kukutana nayo. Ina roho mbaya shetani anasubiri
Ni kosa kosheria?Huyu mshenzi laanakum kaanzishiwa thread zaidi ya kumi hapa JF...
Hii takataka sio ya kukutana nayo. Ina roho mbaya shetani anasubiri
Ha ha ha dawa ya nyoka ipo nakuwa anakukimbia kila sikuAse mimi na nyoka vitu viwili tofauti yaani ata awe mdogo
Nakumbuka aliingia nyoka ndani ase sikulala tena home nikaludi kwa mzee kama wiki hivi ndio nikasema wakaenda muua
Huyo koboko ni nyoka hatari sana
Huyu mchumba tu kwa Nyegere a.k.a honey badgerMjue Nyoka Aina Ya Coboko*Au Black_Mamba
nyoka huyu ni miongoni mwa nyoka wenye sumu kali zaidi duniani, ni nyoka anaependa sehemu tulivu isiyo na kelele, na ni mwepesi kubaini hatari yoyote pindi anapokuwa mawindoni na kuwa tayari kwa lolote, hata kama yuko mbali atajaribu kufika eneo analodhani ni hatari kwa uhai wake na kukabiliana nalo kikubwa ahakikishe yuko salama kwa asilimia mia moja, ana uwezo wa kuwagonga ng'ombe ishirini kwa dakika zisizo zidi tano, ni mwepesi wa kutoroka pindi anapoona kazidiwa na adui, na sehemu anayoishi haruhusu kiumbe chochote kuwa karibu, lakini pamoja na ubabe wake wote huo hana ujanja kwa ndege wanaoitwa bundi na mwewe weusi wakubwa huwa ni chakula pendwa kwa ndege hao, na ndiyo maana mawindo ya nyoka huyu huwa asubuhi kuanzia saa tatu mpaka saa tano na hurudi sehemu anayoiamini ni salama kwake ( kwenye pango au kwenye vichuguu) na mchana hutoka pindi jua limepoa na hufanya mawindo yake mpaka jua linapo anza kuzama tayari huwa katika sehemu salama, pia ni kiumbe asiyependa unyevu nyevu hivyo hulazimika kuhama pindi inapofika masika huhamia kwenye mapango ya miti na kiangazi hurudi kwenye vichuguu, kuna koboko wenye rangi tofauti tofauti lakini hawa wawili wa kijivu na rangi ya brown (kahawia) ni hatari sana.
Nb. Nyoka hawa huuma pindi utakavyo washtukiza ila kama watakuona umbali wa mita tano na hujamuona husimama urefu wa mita mbili na kukugonga kichwani, urefu wa hawa nyoka hufikia hadi futi kumi na mbili.View attachment 2498561
Pole sananiko sehemu yenye joto, nimesisimka kwa comment hii