Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Ilitoke mwaka 2004 sehemu inaitwa gilai karibu na lake natron . Huyu docta alikuwa anaenda kutibu kwenye maboma ya wamasai bahati mbaya gari likaharibika ikabidi ashuke kurekebisha ndio kwa bahati mbaya akakutwa na huyu nyoka... Hawa nyoka wanapenda sehemu zenye joto.
Gilai karibu na mlima Oldonyo Lengai.
 
Duh hiv kwa nin Mungu aliumba hivi viumbe vya kutisha
koboko ndiyo huyo black mamba .
ana akiri sana
ana kula mti wa bhangi
ana ngata kichwa na shingo tuu
ana sumu kali
ana wika kama jogoo
aja wahi kutembeea kichwA chini yaani siku zote kichwa chake kipo juu kama kasimama vile
ana kwepa mawe
ana ruka kama panzi nk
 
Safi sana huyu ukimfuga kwako

Sema akuzoe wewe tu!

Nyumbani kwako wakuda hawata sogea

Ova
 
Mmmmhhh aiseee hawa nyoka wanapatikana wapi hasa kwa hapa tz,makazi yao wanaopenda maana ni zaidi ya hatari,tiba ya haraka ya bite?
Kwa hapa nchini kwetu wanapatikana kwa wingi kwenye mapori na vichaka mkoani Tabora. Wakazi wa Tabora ndio wanamjua vema huyu nyoka. Kiufupi huyu nyoka ni hatari kupita maelezo, ndiye nyoka mwenye sumu kali kuliko aina zote za nyoka barani Africa.
 
Mjue Nyoka Aina Ya Coboko*Au Black_Mamba
nyoka huyu ni miongoni mwa nyoka wenye sumu kali zaidi duniani, ni nyoka anaependa sehemu tulivu isiyo na kelele, na ni mwepesi kubaini hatari yoyote pindi anapokuwa mawindoni na kuwa tayari kwa lolote, hata kama yuko mbali atajaribu kufika eneo analodhani ni hatari kwa uhai wake na kukabiliana nalo kikubwa ahakikishe yuko salama kwa asilimia mia moja, ana uwezo wa kuwagonga ng'ombe ishirini kwa dakika zisizo zidi tano, ni mwepesi wa kutoroka pindi anapoona kazidiwa na adui, na sehemu anayoishi haruhusu kiumbe chochote kuwa karibu, lakini pamoja na ubabe wake wote huo hana ujanja kwa ndege wanaoitwa bundi na mwewe weusi wakubwa huwa ni chakula pendwa kwa ndege hao, na ndiyo maana mawindo ya nyoka huyu huwa asubuhi kuanzia saa tatu mpaka saa tano na hurudi sehemu anayoiamini ni salama kwake ( kwenye pango au kwenye vichuguu) na mchana hutoka pindi jua limepoa na hufanya mawindo yake mpaka jua linapo anza kuzama tayari huwa katika sehemu salama, pia ni kiumbe asiyependa unyevu nyevu hivyo hulazimika kuhama pindi inapofika masika huhamia kwenye mapango ya miti na kiangazi hurudi kwenye vichuguu, kuna koboko wenye rangi tofauti tofauti lakini hawa wawili wa kijivu na rangi ya brown (kahawia) ni hatari sana.
Nb. Nyoka hawa huuma pindi utakavyo washtukiza ila kama watakuona umbali wa mita tano na hujamuona husimama urefu wa mita mbili na kukugonga kichwani, urefu wa hawa nyoka hufikia hadi futi kumi na mbili.
FB_IMG_16749250554046186.jpg
 
Mjue Nyoka Aina Ya Coboko*Au Black_Mamba
nyoka huyu ni miongoni mwa nyoka wenye sumu kali zaidi duniani, ni nyoka anaependa sehemu tulivu isiyo na kelele, na ni mwepesi kubaini hatari yoyote pindi anapokuwa mawindoni na kuwa tayari kwa lolote, hata kama yuko mbali atajaribu kufika eneo analodhani ni hatari kwa uhai wake na kukabiliana nalo kikubwa ahakikishe yuko salama kwa asilimia mia moja, ana uwezo wa kuwagonga ng'ombe ishirini kwa dakika zisizo zidi tano, ni mwepesi wa kutoroka pindi anapoona kazidiwa na adui, na sehemu anayoishi haruhusu kiumbe chochote kuwa karibu, lakini pamoja na ubabe wake wote huo hana ujanja kwa ndege wanaoitwa bundi na mwewe weusi wakubwa huwa ni chakula pendwa kwa ndege hao, na ndiyo maana mawindo ya nyoka huyu huwa asubuhi kuanzia saa tatu mpaka saa tano na hurudi sehemu anayoiamini ni salama kwake ( kwenye pango au kwenye vichuguu) na mchana hutoka pindi jua limepoa na hufanya mawindo yake mpaka jua linapo anza kuzama tayari huwa katika sehemu salama, pia ni kiumbe asiyependa unyevu nyevu hivyo hulazimika kuhama pindi inapofika masika huhamia kwenye mapango ya miti na kiangazi hurudi kwenye vichuguu, kuna koboko wenye rangi tofauti tofauti lakini hawa wawili wa kijivu na rangi ya brown (kahawia) ni hatari sana.
Nb. Nyoka hawa huuma pindi utakavyo washtukiza ila kama watakuona umbali wa mita tano na hujamuona husimama urefu wa mita mbili na kukugonga kichwani, urefu wa hawa nyoka hufikia hadi futi kumi na mbili.View attachment 2498561
Huyu mchumba tu kwa Nyegere a.k.a honey badger
 
Back
Top Bottom