huyu mnyama ana courage ya ajabu sana akiamua kutuna hata simba hamsogelei. anapata chakula chake katika mazingira ya taabu sana i.e asali na nyoka japo katika mawindo yake hua anakosea step na kuuwawa na sumu ya nyoka.
Huyo nae ni habari nyingine, anaweza akabadili historia ya maisha yako kama wewe ni mwanaume within seconds
huyu black mamba ni mfalme wa poli haliwi na chatu maana ana spidi kali japo nasikia adui yake ni Eagle na tumbili, hua hachomoki lazima aliwe
Si u google mama yoyoo au bundle kushinehimkuu
kuna black mamba,cobra and python please tofautisha kwa picha
Mkuu kumbe unaijua habari yake!
Mtaala mnaotumia umepitwa na wakati,black mamba ndio kobokotatizo hufahamu ila unahisi unajua haya endelea kujua unalojua maana kama bank teller anakua herpetologist ni sawa lakini ni vyema kama hujui ukakaa kimya wengine ndio field zao hizi sio tour guides lakini ni professionals katika study za herpetology so nakushauri ujifunze sio u object jambo usilolijua.In the study of reptiles we know nothing like koboko,swila,kifutu etc but we are dealing with classification from the level of kingdom to species level.Inaelekea huna clue juu ya viumbe hivi ndo maana.Nimejaribu kutuma na picha uone tofauti.mleta uzi ametoa picha ya black mamba moja ya characteristic yake ni kutumia elevation wakati akiwa aggressive tabia ambayo haipo kwa nyoka waliopo katika order ya serpentes na pia ukimuangalia mdomo wake unashape ya jeneza.. itoshe kukuelimisha kua hili ni somo na linahitaji some sio kupata story.
Hilo lilikuwa ni joka la kisra, majoka haya ya mibuyuni ni majoka ya karne,huwa mekundu kwa juu!yana sumu kali sana!ni kama mizimuwaallah siwapendi hawa wadudu hata kidogo, nlikua dodoma siku moja kumsalimia bi mkubwa akaingia nyoka mkubwa sana ambae binafsi sijawahi muona ana macho makubwa yametoka nje, ana wekundu fulan uliokomaa mgongoni huwa wanaishi kwene mibuyu mikubwa SIJAWAHI AMINI KAMA NILIMUUA YULE MDUDU, nahisi ni kwa sababu alitaka mshambulia bi mkubwa, since that day sijakaa kusahau. hawa wadudu SIWAPENDI SIWAPENDI.. NA NDIO NAWAOGOPA.
Thubutu.
Afu kuna sehemu niliona aina fulani ya nyoka yaani wamefanana kopiraiti na uume.
Wanaitwaje na wanapatikana wapi?
Yaani ukimuona ni kama umeuona uume tu
Likija swala la nyoka nakuwa mpole sana
Huyu jamaa kamsikia koboko sijui black mamba anajitapa kwamba ameshindikana, hapa black mamba analiwa vizuri tu, tena kiulaini kama urojo wa kipemba.
kifutu ni boomslang
huyu ndo kifutu yaani boomslang
hawa ni puff adder ndo koboko
kaka unafahamu study za reptiles na amphibians?unafahamu classification na identification vizuri?tusije bishana kumbe mwenzangu haupo huku kaka.
Koboko ni kiswahili cha cobra kama sikosei.
duh! inabidi kuvaa chupi ya ngozi!Honey budger yy ukiiba asali yake atakufuata kokote unakoenda kwa kunusa harufu, akifika anachomoa pumbu zako anaondoka nazo....haogopi mtu huyu mdudu, hata uwe na silaha:sly:
Inaonekana huyo alikuwa kifutu.
huyu mnyama ana courage ya ajabu sana akiamua kutuna hata simba hamsogelei. anapata chakula chake katika mazingira ya taabu sana i.e asali na nyoka japo katika mawindo yake hua anakosea step na kuuwawa na sumu ya nyoka.
Hii sumu inaonekana ni kali sana...... Lakini Mungu anamakususudi yake...pengine ndio dawa ya ukimwi hiyoKoboko anasumu inatoharibu mishipa ya fahamu (neurotoxic). Akikugonga inabidi uwahishwe hospitali katika dakika 5. Baada ya hapo sumu inasimamisha kazi za ubongo , kisha unakosa hewa kwa sababu hutaweza kupumua kwa sababu ya kupararaizi. Koboko ni ishu