ZENITH
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 1,035
- 920
huyu mnyama ana courage ya ajabu sana akiamua kutuna hata simba hamsogelei. anapata chakula chake katika mazingira ya taabu sana i.e asali na nyoka japo katika mawindo yake hua anakosea step na kuuwawa na sumu ya nyoka.
Hapana mkuu, huyu mdudu ni kweli huwa anakosea step anagongwa na black mamba, lakini kabla ya kuwa unconscious anamuua kabisa black mamba then anapoteza fahamu kwa Muda fulani, akizinduka tu anaendelea kupiga msosi kama kawa, huwa hafi kabisa, anazimia tu.
