Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

huyu mnyama ana courage ya ajabu sana akiamua kutuna hata simba hamsogelei. anapata chakula chake katika mazingira ya taabu sana i.e asali na nyoka japo katika mawindo yake hua anakosea step na kuuwawa na sumu ya nyoka.

Hapana mkuu, huyu mdudu ni kweli huwa anakosea step anagongwa na black mamba, lakini kabla ya kuwa unconscious anamuua kabisa black mamba then anapoteza fahamu kwa Muda fulani, akizinduka tu anaendelea kupiga msosi kama kawa, huwa hafi kabisa, anazimia tu.
 
Huyo nae ni habari nyingine, anaweza akabadili historia ya maisha yako kama wewe ni mwanaume within seconds

Honey budger yy ukiiba asali yake atakufuata kokote unakoenda kwa kunusa harufu, akifika anachomoa pumbu zako anaondoka nazo....haogopi mtu huyu mdudu, hata uwe na silaha:sly:
 
huyu black mamba ni mfalme wa poli haliwi na chatu maana ana spidi kali japo nasikia adui yake ni Eagle na tumbili, hua hachomoki lazima aliwe

pia kuna wale siafu weusi,nakumbuka sisi tuliwapaga jina lautani utotoni tulikuwa tunawita FFU,maranyingi wanapatikana maporini ukiwachokoza huwa wanahasira kari unaweza kuwasikia hadi wanavyo lia.hao pia koboko hapo haoni ndani
 
Mkuu kumbe unaijua habari yake!

Huyu mdudu alishawahi kunikosa kosa vibaya, alinirukia bahati nzuri nikajikwaa akapita juu japo alinijeruhi kidogo, nilisaidiwa na waliokuwa jirani, siku nyingine nilikuta hospitali watu wa familia moja watatu na majeraha mabaya, nikaelezwa ni hako kajamaa kanahusika
 
Green mamba huyu hapa 1431324338994.jpg
 
tatizo hufahamu ila unahisi unajua haya endelea kujua unalojua maana kama bank teller anakua herpetologist ni sawa lakini ni vyema kama hujui ukakaa kimya wengine ndio field zao hizi sio tour guides lakini ni professionals katika study za herpetology so nakushauri ujifunze sio u object jambo usilolijua.In the study of reptiles we know nothing like koboko,swila,kifutu etc but we are dealing with classification from the level of kingdom to species level.Inaelekea huna clue juu ya viumbe hivi ndo maana.Nimejaribu kutuma na picha uone tofauti.mleta uzi ametoa picha ya black mamba moja ya characteristic yake ni kutumia elevation wakati akiwa aggressive tabia ambayo haipo kwa nyoka waliopo katika order ya serpentes na pia ukimuangalia mdomo wake unashape ya jeneza.. itoshe kukuelimisha kua hili ni somo na linahitaji some sio kupata story.
Mtaala mnaotumia umepitwa na wakati,black mamba ndio koboko
 
waallah siwapendi hawa wadudu hata kidogo, nlikua dodoma siku moja kumsalimia bi mkubwa akaingia nyoka mkubwa sana ambae binafsi sijawahi muona ana macho makubwa yametoka nje, ana wekundu fulan uliokomaa mgongoni huwa wanaishi kwene mibuyu mikubwa SIJAWAHI AMINI KAMA NILIMUUA YULE MDUDU, nahisi ni kwa sababu alitaka mshambulia bi mkubwa, since that day sijakaa kusahau. hawa wadudu SIWAPENDI SIWAPENDI.. NA NDIO NAWAOGOPA.
Hilo lilikuwa ni joka la kisra, majoka haya ya mibuyuni ni majoka ya karne,huwa mekundu kwa juu!yana sumu kali sana!ni kama mizimu
 
Thubutu.
Afu kuna sehemu niliona aina fulani ya nyoka yaani wamefanana kopiraiti na uume.
Wanaitwaje na wanapatikana wapi?
Yaani ukimuona ni kama umeuona uume tu

Ni kweli mkuu,nyoka hawa wakikugonga chini,unavimba juu!!
 
Unishindi mimi hata wale wanaokula panya nikisikia kaingia ndani nahamia guest house mpaka nihakikishiwe kauwawa na nyumba lazima ifanyiwe fumigation ya maana.
Likija swala la nyoka nakuwa mpole sana
 
Ni kweli mkuu wangu nilikuwa natazama Dstv channel ya wanyama wanasema sifa kubwa ya Honey barger ni ngozi ngumu so inakuwa vigumu sana meno ya Koboko kupenya na kumwachia sumu.Nilio hata Nguchiro wakimtoa jasho Koboko kwa kutumia wingi wao wanamzunguka akitaka kumgonga Nguchiro mmoja mwingine anamkusa mkia akigeuka mwingine anamgusa tumbo mchezo unaendelea hadi akachokoa na kutimia mbio.

Huyu jamaa kamsikia koboko sijui black mamba anajitapa kwamba ameshindikana, hapa black mamba analiwa vizuri tu, tena kiulaini kama urojo wa kipemba.
 
kifutu ni boomslang

Boomslang ana tabia ya kuishi juu ya miti na akiwa amejiviringa rangi yake ni greenish. Kifutu ni puffada na koboko ni black mamba. Period. Nenda pale snake farm Arusha ujionee mwenyewe.
 
th
huyu ndo kifutu yaani boomslang
DSCN4262.JPG
hawa ni puff adder ndo koboko
kaka unafahamu study za reptiles na amphibians?unafahamu classification na identification vizuri?tusije bishana kumbe mwenzangu haupo huku kaka.

Kaka acha kupotosha watu kifutu sio boomslang.
 
Honey budger yy ukiiba asali yake atakufuata kokote unakoenda kwa kunusa harufu, akifika anachomoa pumbu zako anaondoka nazo....haogopi mtu huyu mdudu, hata uwe na silaha:sly:
duh! inabidi kuvaa chupi ya ngozi!
 
huyu mnyama ana courage ya ajabu sana akiamua kutuna hata simba hamsogelei. anapata chakula chake katika mazingira ya taabu sana i.e asali na nyoka japo katika mawindo yake hua anakosea step na kuuwawa na sumu ya nyoka.

Ni shujaa sana, kuna mahali tulikuwa km tumemfuga hivi kwa kumzoesha kumuwekea chakula sehemu moja, alikua akawa mkubwa sana. Even though she never been our friend ever!
 
Koboko anasumu inatoharibu mishipa ya fahamu (neurotoxic). Akikugonga inabidi uwahishwe hospitali katika dakika 5. Baada ya hapo sumu inasimamisha kazi za ubongo , kisha unakosa hewa kwa sababu hutaweza kupumua kwa sababu ya kupararaizi. Koboko ni ishu
Hii sumu inaonekana ni kali sana...... Lakini Mungu anamakususudi yake...pengine ndio dawa ya ukimwi hiyo
 
Back
Top Bottom