Aisee! Ukikutana na size hiyo kwenye clip ni msala [emoji848] au eva wa edeni alikutana na mdundo kama huo akaogopa akaingia mkenge!!?[emoji3166][emoji23]View attachment 2498587
View attachment 2498587
Sema ni vile tu wanaadam mna nongwa sana. Mbonna msela yupo pisi sana. Kama hapo anajipungia zake upepo tu.
View attachment 2498584
Huyu akikudhamiria huchomokiAnaweza kusimama kwa kutumia ¾ ya urefu wakeView attachment 2498588
Huyo Simons mwenyewe akiitwa kukamata koboko,mwenyewe husema lazima moyo udunde japo kakamata wengi,na baridi ya south ndiyo inawatiliza,anasema kipindi Cha joto huwa wanakuwa wakali,lakini yeye huwa na dawa/anti venom anapokua site,japo no kweli kwamba koboko si mkorofi,labda ukute alibughudhiwa na watu kabla,hapo haulizi...ni jino tuHuwa mnatia chumvi sana!
Kuna yule jamaa kwenye kipindi cha snake in the city kwenye chanel ya wanyama huwa anawakamata kwa mkono tu
Ni kweli ni kiumbe hatari lkin yeye mwenyewe akikuona huwa anajificha ili kuokoa uhai wake
Watu wa Tabora wanamjua huyu nyoka, nikiwa mdogo huko Tabora nimesikia vifo vingi kutokana na huyu nyoka.Huyu akikudhamiria huchomoki
True pia mdomo wake ni mrefu, kama anatabasamu hivi. They say he gives a "kiss of death"Utofauti wa huyu nyoka na wengine, iwe awe wa kijani, au kijivu, usisubiri mpaka uone kinywa chake kua cheusi ndio u baini kua ni huyu jinamizi, utakua umesha chelewa! Angalia size ya kichwa chake, hawa ambao sio black_mamba hua na kichwa chenye shape ya U kama cha mjusi alivyo ila huyu jini kichwa chake hua kama 4Angle ( kile kiatu cha shule pale mbele ) foengo
So dumisha umakini na utulivu popote unapo kutana na nyoka! Usithubutu kumuacha nyoka hai kama mmesha anza pambano
Wewe ulie leta hii thread mjinga sana umefanya nilale naota mijoka mijoka mpaka mormg sijapenda kabisa
Amka sasa ubadili kaptula hilo,huoni limeloa mikojo?Kitanda changu af na kikimbia kisa kusoma hii thread
Amka sasa ubadili kaptula hilo,huoni limeloa mikojo?
Yeah! A kiss of death! Killing machineTrue pia mdomo wake ni mrefu, kama anatabasamu hivi. They say he gives a "kiss of death"View attachment 2498794
Ana balaa sanaWatu wa Tabora wanamjua huyu nyoka, nikiwa mdogo huko Tabora nimesikia vifo vingi kutokana na huyu nyoka.
Najuta kusoma hii thread jana usiku, kwanza nimelala naota nyoka nimepiga kelele usiku mzima. Mpaka nimemuota mtesi wangu kaniletea nyoka kitandani huku namuona, sijawahi lala kwa shida kama leo.
Nae kajikojolea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwingine huyu uku
Nae kajikojolea
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe hata kujinyea umejinyea [emoji23][emoji23]Yah hapa naogopa kusema situation nzima mtanicheka sana jua tu sijalala leo
Huyu mpaka umvizie inakubidi uwe mwana mazingaombwe! Hawa majini yana sensor nyingi kuliko zilizopo kwenye subaru na zina cover radius kubwa labda ulimkuta kashiba sana au lah, ulimkuta yule mwingine mwenye kichwa kama cha mjusi, huyu na kobra wapo very flexible an manuvable kwenye matukio yaoHuyu nyoka anapewa sifa zilizopitiliza ni mkali ila ukimvizia una mkamata mzima mzma , nilishafanya hivyo .