Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Huyu ni hatari sana ila huku kwetu kulikuwa na mzee alikuwa anaitwa Magwisha alikuwa mtaalam wa kupambana na hawa nyoka alikuwa anakata mabapa ya katani kama 20 anajizatiti kwa kujifunga magunia mwili wote anabakiza macho kwa mbali anaingia chimbo kumtimua koboko anakuwa anamrushia yale makatani anayagonga yanakuwa kama yameungua moto zoezi linaendelea mpaka katani ya mwisho koboko anakuwa kachoka sana mzee Magwisha anaingia mzima kupambana naye mpaka anamuua
 
1bca6da149cd895612a81161aa969e90.jpg
 
Umechanganya habari brother.... black mammba huwa hatanui shingo....
Only cobra do that....
Black Mamba na Cobra wanasadikiwa kuwa katika family moja (elapidae). Cobra (swila) hutanua sana mbavu zake, na koboko mweusi (black mamba) hutanua kwa kiasi kidogo. Black mamba huacha mdomo wake mweusi wazi, ndio maana akaitwa BLACK MAMBA (japo rangi ya mwili wake si nyeusi).
 
Black Mamba na Cobra wanasadikiwa kuwa katika family moja (dendroaspis). Cobra (swila) hutanua sana mbavu zake, na koboko mweusi (black mamba) hutanua kwa kiasi kidogo. Black mamba huacha mdomo wake mweusi wazi, ndio maana akaitwa BLACK MAMBA (japo rangi ya mwili wake si nyeusi).
Asante james maana watu awajui species izi vizur wao wakiona black wanajua atakuwa mweusi tii
 
Nyegere ni hatari sn
Mziki wake sio simba,Faru John ita utakavyo wanamuachia himaya wanatimka....binadam ukikazingua kama mwanaume kanakimbilia haya maeneo yakutafutia heshima nyumbani.hakafai aisee huyu koboko kanamla kuanzia kichwani pamoja na sumu zake zote.
ddb98a69f0cb6d99d2b2a534ab4ccbd3.jpg
hapa akimalizana na nyoka,
81b8ac246c746bca4efffa02101629e4.jpg
status yake hatari sana.
 
Huyu ni hatari sana ila huku kwetu kulikuwa na mzee alikuwa anaitwa Magwisha alikuwa mtaalam wa kupambana na hawa nyoka alikuwa anakata mabapa ya katani kama 20 anajizatiti kwa kujifunga magunia mwili wote anabakiza macho kwa mbali anaingia chimbo kumtimua koboko anakuwa anamrushia yale makatani anayagonga yanakuwa kama yameungua moto zoezi linaendelea mpaka katani ya mwisho koboko anakuwa kachoka sana mzee Magwisha anaingia mzima kupambana naye mpaka anamuua
Dah! Tabu yote ya nini?
 
Back
Top Bottom