Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Duu hahaa watu waliendaa kuzikaaa amaaaMkuu huyo koboko alishawahi kutimua watu makabulini hana maana ata kidogo
Wale Wahindustani huwa wanawachezea Cobra ila kwa Koboko hata awe amemeza piriton atawagonga tu.
Kuna nyoka wanafiki sana, sasa huko anaenda wapi?Mimi namtaja sana lakini naishia kuona picha tu
View attachment 766100
Hakufanikiwa kuingia ila washkaji waliokuwa pale stendi ya zamani wanasema choo cha kulipia kilikuwa hakitoshi mpaka ilibidi wengine wahonge.Daaa aisee sipati picha abiria waliokuwa ndani ya basi walikuwa wanamwangaliaa kwa sura ya aina ganiii wakati koboko analikimbimbiza basiii lao maana nasikia yule mshenzi mkiacha tuu kioo wazi anaingia ndani na kishaa anaanza kufanya vujo zakeee
Ni kawaida kwa reptilia kukua kama wanapata favourable conditions zote.E
Na hao bado hawajakomaa vizuri kuna koboko alionekana Zimbabwe alikuwa ni mrefu sana waliomuona wanasema ameweka record.
Duu mshikaji yupo vizuliiihuyu kazingua
Kama huyo bora nikutane na zizi la simba.Mimi namtaja sana lakini naishia kuona picha tu
View attachment 766100
mikwara mingi sanaKuna nyoka wanafiki sana, sasa huko anaenda wapi?
Yaani ileeeeeeeee paaaaap unafika home kitu unakiona nacho ndio kinashuka chini ya gari sipati picha mbio utakazoziacha hata Usain Bolt atashangaaNi balaa hicho kifaa kinaweza kuua watu mia in 5min acha tu,huku kwetu ushirombo ndo vipo,kuna siku nimekutana nacho kinavuka barabara ya vumbi,nikasimama nikarudi nyuma na corola yangu nikakipitia shaaaaaah kumbe sikukigonga kikanasa chini ya gari,bahati nzuri nilikua naenda mwendo mrefu,kufika lami nikaona kitu kimeanguka kwa nyuma dah nikashukuru sana,nikawaza ni vp ninheenda nacho home?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii chumvi imezidi sasaKoboko ni level nyingine kabisaa yaani sio simba,chui,chatu, cobra wote unawajua wewe ni wachumba mbele ya koboko.
Simba au chui mkiwa watu wawili au watatu mmeshika mawe au mna silaha za jadi simba mwenyewe anakimbia mkimbia lakini sio koboko.....
Yaani hata muwe watu 100 na mna silaha za moto na mabomu ya machozi mbele ya koboko ni sawa mnajisumbuaaa buree kwa sababu ana uwezo wa kupambana na jeshi zaidi ya miaa na akawauwa watu woteee na hakuna atayebakia salama
Kwa kifupi tuu koboko ni jeshi la mtu mmoja
Unadhani mamba atashuka kama wewe unavyoshuka ghorofani? Yaani ni ile kushusha mguu wa kwanza tu tayari dose! Ukishusha mguu wa pili unapata tena, akishuka mwingine anapata pia. Jamaa halina muda wa mauzo, ni vita vita mura...Yaani ileeeeeeeee paaaaap unafika home kitu unakiona nacho ndio kinashuka chini ya gari sipati picha mbio utakazoziacha hata Usain Bolt atashangaa
Hiki kiumbe hakifaiUnadhani mamba atashuka kama wewe unavyoshuka ghorofani? Yaani ni ile kushusha mguu wa kwanza tu tayari dose! Ukishusha mguu wa pili unapata tena, akishuka mwingine anapata pia. Jamaa halina muda wa mauzo, ni vita vita mura...
Duhhhh viumbe wengine bora majiniKoboko ana hasira sana ukikutana nae ni kutambika kikwenu au sala ya mwisho.
Usithubutu kukimbia kwani ana mbio za ajabu na kama kuna matuta ukajifanya kuyaruka yeye anatambaa juu ya matuta umenielewa
Ukiwa na gari ukamuona barabarani ataifukukuza gari na kuingia kwa chini na kujificha mpaka kwako
Hasira za kurushwa akitoka hapo ana uwezo wa kuuwa watu 25 kwa mkupuo na sumu yake huvuki dakika 30 ulimi nje.
Nawapenda nyoka lakini huyu sio rafiki kabisa very aggressive
Tembea Na pilipili kavu mifukoni, nyoka aina yoyote hatokusogeleaKuna sehemu nipo huku mkoani tabora sehemu nilikuwa nimekaa nikasikia watu wakimsimulia nyoka aina ya koboko ambaye inasemekana anapatikana tabora ,shinyanga,singida na kigoma.
Kuna mtu mmoja katika mazungumzo yake alikuwa akisema ni bora ukutane na simba au chui unaweza ukapona kuliko koboko nilipojaribu kumuuliza alisema hayupo tayali kumuongelea kiundani wala kumtajaa kwa sababu ukiwa ndani ya mkoa wa tabora au shinyanga ni marufuku kumtaja huyu nyoka jinsi alivyoniambia.
Sasa kwa wale wanaomfahamu hebu tuelezeeeni kwanini koboko anaogopeka kuliko simba au chuiii
Duh! Huwa harufu ya pilipili inawadhuru au, maana mm nataka dawa ya hawa viumbe, ni hatari sana hawa viumbeTembea Na pilipili kavu mifukoni, nyoka aina yoyote hatokusogelea
Hawaipendi tu,inawafanya wapaliweDuh! Huwa harufu ya pilipili inawadhuru au, maana mm nataka dawa ya hawa viumbe, ni hatari sana hawa viumbe
Brother mimi mwenyewe nipo [B[USHIROMBO[/B] mwaka wa 8 huu na nimetembea kote MNEKEZI,BULEGA, KAKOYOYO,LUREMBELA,NYAMPLALA, BUTUBRI Sijawahi kusikia koboko wala nini isipokuwa COBRA ,CHATU ndo wanapatpatikana sana sasa wewe naomba unieleze huyo koboko wako ulimuonea barabara gani hapa USHIROMBONi balaa hicho kifaa kinaweza kuua watu mia in 5min acha tu,huku kwetu ushirombo ndo vipo,kuna siku nimekutana nacho kinavuka barabara ya vumbi,nikasimama nikarudi nyuma na corola yangu nikakipitia shaaaaaah kumbe sikukigonga kikanasa chini ya gari,bahati nzuri nilikua naenda mwendo mrefu,kufika lami nikaona kitu kimeanguka kwa nyuma dah nikashukuru sana,nikawaza ni vp ninheenda nacho home?
Brother mimi mwenyewe nipo USHIROMBO mwaka wa 8 huu na nimetembea kote MNEKEZI,BULEGA, KAKOYOYO,LUREMBELA,NYAMPLALA, BUTUBRI Sijawahi kusikia koboko wala nini isipokuwa COBRA ,CHATU ndo wanapatpatikana sana sasa wewe naomba unieleze huyo koboko wako ulimuonea barabara gani hapa USHIROMBONi balaa hicho kifaa kinaweza kuua watu mia in 5min acha tu,huku kwetu ushirombo ndo vipo,kuna siku nimekutana nacho kinavuka barabara ya vumbi,nikasimama nikarudi nyuma na corola yangu nikakipitia shaaaaaah kumbe sikukigonga kikanasa chini ya gari,bahati nzuri nilikua naenda mwendo mrefu,kufika lami nikaona kitu kimeanguka kwa nyuma dah nikashukuru sana,nikawaza ni vp ninheenda nacho home?
Mfupi na mnene ni kifutu mkuu black mamba ndiyo koboko!...Hapana mkuu umechanganya kidogo, huyu koboko ni puff adder kama sijakosea huwa ni mfupi na mnene. Black mamba ni mrefu na mwembamba ndie huwa anaitwa kiss of death
Mjomba sio chumvi ni kweli kabisaa koboko hata uwee na silaha moto na mpo wengi wote mnakula doziiii hata muende maji ya kuwasha,mabomu ya machozi, risasi za moto mapambano yake si ya kitoto.[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii chumvi imezidi sasa