Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Daaa aisee sipati picha abiria waliokuwa ndani ya basi walikuwa wanamwangaliaa kwa sura ya aina ganiii wakati koboko analikimbimbiza basiii lao maana nasikia yule mshenzi mkiacha tuu kioo wazi anaingia ndani na kishaa anaanza kufanya vujo zakeee
Hakufanikiwa kuingia ila washkaji waliokuwa pale stendi ya zamani wanasema choo cha kulipia kilikuwa hakitoshi mpaka ilibidi wengine wahonge.
 
E

Na hao bado hawajakomaa vizuri kuna koboko alionekana Zimbabwe alikuwa ni mrefu sana waliomuona wanasema ameweka record.
Ni kawaida kwa reptilia kukua kama wanapata favourable conditions zote.

Kuna mamba anazurura ziwa Victoria mto Rusizi na maeneo ya karibu wamempachika jina la Gustave, anakula binadamu kama hana akili vizuri wazungu wakamtengenezea muvi inaitwa Primeval.

Ameongezeka ukubwa vibaya mno
 
Ni balaa hicho kifaa kinaweza kuua watu mia in 5min acha tu,huku kwetu ushirombo ndo vipo,kuna siku nimekutana nacho kinavuka barabara ya vumbi,nikasimama nikarudi nyuma na corola yangu nikakipitia shaaaaaah kumbe sikukigonga kikanasa chini ya gari,bahati nzuri nilikua naenda mwendo mrefu,kufika lami nikaona kitu kimeanguka kwa nyuma dah nikashukuru sana,nikawaza ni vp ninheenda nacho home?
Yaani ileeeeeeeee paaaaap unafika home kitu unakiona nacho ndio kinashuka chini ya gari sipati picha mbio utakazoziacha hata Usain Bolt atashangaa
 
Koboko ni level nyingine kabisaa yaani sio simba,chui,chatu, cobra wote unawajua wewe ni wachumba mbele ya koboko.

Simba au chui mkiwa watu wawili au watatu mmeshika mawe au mna silaha za jadi simba mwenyewe anakimbia mkimbia lakini sio koboko.....

Yaani hata muwe watu 100 na mna silaha za moto na mabomu ya machozi mbele ya koboko ni sawa mnajisumbuaaa buree kwa sababu ana uwezo wa kupambana na jeshi zaidi ya miaa na akawauwa watu woteee na hakuna atayebakia salama

Kwa kifupi tuu koboko ni jeshi la mtu mmoja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii chumvi imezidi sasa
 
Yaani ileeeeeeeee paaaaap unafika home kitu unakiona nacho ndio kinashuka chini ya gari sipati picha mbio utakazoziacha hata Usain Bolt atashangaa
Unadhani mamba atashuka kama wewe unavyoshuka ghorofani? Yaani ni ile kushusha mguu wa kwanza tu tayari dose! Ukishusha mguu wa pili unapata tena, akishuka mwingine anapata pia. Jamaa halina muda wa mauzo, ni vita vita mura...
 
Hiki kiumbe hakifai
 
Koboko ana hasira sana ukikutana nae ni kutambika kikwenu au sala ya mwisho.
Usithubutu kukimbia kwani ana mbio za ajabu na kama kuna matuta ukajifanya kuyaruka yeye anatambaa juu ya matuta umenielewa
Ukiwa na gari ukamuona barabarani ataifukukuza gari na kuingia kwa chini na kujificha mpaka kwako
Hasira za kurushwa akitoka hapo ana uwezo wa kuuwa watu 25 kwa mkupuo na sumu yake huvuki dakika 30 ulimi nje.

Nawapenda nyoka lakini huyu sio rafiki kabisa very aggressive
Duhhhh viumbe wengine bora majini
 
Kuna sehemu nipo huku mkoani tabora sehemu nilikuwa nimekaa nikasikia watu wakimsimulia nyoka aina ya koboko ambaye inasemekana anapatikana tabora ,shinyanga,singida na kigoma.

Kuna mtu mmoja katika mazungumzo yake alikuwa akisema ni bora ukutane na simba au chui unaweza ukapona kuliko koboko nilipojaribu kumuuliza alisema hayupo tayali kumuongelea kiundani wala kumtajaa kwa sababu ukiwa ndani ya mkoa wa tabora au shinyanga ni marufuku kumtaja huyu nyoka jinsi alivyoniambia.

Sasa kwa wale wanaomfahamu hebu tuelezeeeni kwanini koboko anaogopeka kuliko simba au chuiii
Tembea Na pilipili kavu mifukoni, nyoka aina yoyote hatokusogelea
 
Ni balaa hicho kifaa kinaweza kuua watu mia in 5min acha tu,huku kwetu ushirombo ndo vipo,kuna siku nimekutana nacho kinavuka barabara ya vumbi,nikasimama nikarudi nyuma na corola yangu nikakipitia shaaaaaah kumbe sikukigonga kikanasa chini ya gari,bahati nzuri nilikua naenda mwendo mrefu,kufika lami nikaona kitu kimeanguka kwa nyuma dah nikashukuru sana,nikawaza ni vp ninheenda nacho home?
Brother mimi mwenyewe nipo [B[USHIROMBO[/B] mwaka wa 8 huu na nimetembea kote MNEKEZI,BULEGA, KAKOYOYO,LUREMBELA,NYAMPLALA, BUTUBRI Sijawahi kusikia koboko wala nini isipokuwa COBRA ,CHATU ndo wanapatpatikana sana sasa wewe naomba unieleze huyo koboko wako ulimuonea barabara gani hapa USHIROMBO
 
Ni balaa hicho kifaa kinaweza kuua watu mia in 5min acha tu,huku kwetu ushirombo ndo vipo,kuna siku nimekutana nacho kinavuka barabara ya vumbi,nikasimama nikarudi nyuma na corola yangu nikakipitia shaaaaaah kumbe sikukigonga kikanasa chini ya gari,bahati nzuri nilikua naenda mwendo mrefu,kufika lami nikaona kitu kimeanguka kwa nyuma dah nikashukuru sana,nikawaza ni vp ninheenda nacho home?
Brother mimi mwenyewe nipo USHIROMBO mwaka wa 8 huu na nimetembea kote MNEKEZI,BULEGA, KAKOYOYO,LUREMBELA,NYAMPLALA, BUTUBRI Sijawahi kusikia koboko wala nini isipokuwa COBRA ,CHATU ndo wanapatpatikana sana sasa wewe naomba unieleze huyo koboko wako ulimuonea barabara gani hapa USHIROMBO
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii chumvi imezidi sasa
Mjomba sio chumvi ni kweli kabisaa koboko hata uwee na silaha moto na mpo wengi wote mnakula doziiii hata muende maji ya kuwasha,mabomu ya machozi, risasi za moto mapambano yake si ya kitoto.

Kuna uzii nautafutaa waziri nyalandu akiwa waziri wa maliasili alituma kikosi maalumu cha kupambana na koboko vita yake ilikuwa sio mchezoo huo uzi ulishawahi kuwekwa humu ngoja nitauweka kuna watu walikuwa wanatoa ushuhuda kuhusu mapambano yake
 
Back
Top Bottom