hapana kifutu ni nyoka boma jina lingineHivi koboko ndio anaitwa kifutu kwa jina lingine?
sio kweli huyo mfupi mnene huwa wanamwita kifutu au boma ni mpole sana kukuuma mpaka umkanyage tena aumie anaweza hata kukuacha ila pia anasumu bayo inaozesha eneo ulilokuuma na ndani ya dakika 20 kifo halali yakoHapana mkuu umechanganya kidogo, huyu koboko ni puff adder kama sijakosea huwa ni mfupi na mnene. Black mamba ni mrefu na mwembamba ndie huwa anaitwa kiss of death
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ana roho mbaya kwelMkuu koboko tena?!ngoja tuendelee Koboko hasa yule mkomavu anaweza kukugonga bila sababu ili ufe tu.
Uko sahihisio kweli huyo mfupi mnene huwa wanamwita kifutu au boma ni mpole sana kukuuma mpaka umkanyage tena aumie anaweza hata kukuacha ila pia anasumu bayo inaozesha eneo ulilokuuma na ndani ya dakika 20 kifo halali yako
kifutu ni nyoka mpole 'mpole hata akifa ukujikwangua na mifupa yake huwa inaishi na sumu yake inaozesha eneo la ngozi ni hatari haswaPuff adder ni kifutu ambae ni mfupi na wanauwa sana kuliko hata koboko
Koboko ndio huyu wanaogopa hata kumtaja jina na ndio huyu black mambas
Huyu hapa anaezungumziwa
Hebu msome kidogo View attachment 766058
Koboko ni Black Mamba ndugu. Puff Adder ni mwingine nadhani ni kifutuHapana mkuu umechanganya kidogo, huyu koboko ni puff adder kama sijakosea huwa ni mfupi na mnene. Black mamba ni mrefu na mwembamba ndie huwa anaitwa kiss of death
Black Mamba ni kiingereza, hiyo mamba isikutisheTupiamo vipicha ili watu tumjue naona watu wanachanganya black mamba na koboko
Msichanganye vitu,Mbona siyo kweli chief.
Kwa sababu koboko siyo miongoni mwa most venomous snakes na hana fatalities kubwa ukimlinganisha na puff ader.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Pia koboko ndo mgunduzi namtumiaji mzuri wabangi
Msichanganye vitu,
Koboko(black mamba) wako was aina moja na wote wanatabia zilezile
Ila
Puff adder( kifutu) wako aina wengi sana duniani.
Puff adder Wenye sumu Kali sana, ni wale wa Jangwani na maeneo yenye ukame sana.
Hawa wakikugonga, huchukui ddk 15 ile sehem ulogongwa inaanza kuoza.
Ijapokua hufi haraka.
Ila kwa black mamba, hakuna mbwembwe za kuanza kuoza.
Kinachotokea ni kuanza kubadilika rangi ya ngozi kua black/blue
Kisha ndani ya 10-20min baada ya kugongwa, Inakua ni kifo.
BLACK MAMBA AKIKUGONGA UTAKUFA HARAKA SANA,
ILA KIFUTU AKIKUGONGA, HUFI HARAKA,BALI UTATESEKA SANA.
Aisee,Mkuu mi mwenyewe hua sielewi wale snake hunter hua wanawachezea sana hao koboko ila nahisi ni tofaut na wa uku bongo kwa sababu wasukuma na wanyamwez ni mabingwa wa kushika nyoka ila kwa kile kifaa hua kinawatoa jasho
Koboko wapo kama aina mbili ivi Black mamba na green mambaHuyu ni black mamba kwa jina lingine ni mweusi wa kung'aa na jina hili la black ni kwa sababu ndani ya mdomo wake ni mweusi sana na cha ajabu akipanua mdomo utafikiri jeneza.
hahaaa..bila sababu tena ..mkuu huyo atakuwa anahila sanaMkuu koboko tena?!ngoja tuendelee Koboko hasa yule mkomavu anaweza kukugonga bila sababu ili ufe tu.
Hii ni kweli mkuuMzembe sana mkuu yani huyo nyoka usipo mkanyaga akugongi ng’ooo
Hii ni kweli mkuu
Kifutu ni kama zoba fulani ukikutana nae
yani mpaka umkanyage
Wapo kibao huku kwetu