Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Hapana mkuu umechanganya kidogo, huyu koboko ni puff adder kama sijakosea huwa ni mfupi na mnene. Black mamba ni mrefu na mwembamba ndie huwa anaitwa kiss of death
sio kweli huyo mfupi mnene huwa wanamwita kifutu au boma ni mpole sana kukuuma mpaka umkanyage tena aumie anaweza hata kukuacha ila pia anasumu bayo inaozesha eneo ulilokuuma na ndani ya dakika 20 kifo halali yako
 
Uko sahihi
 
Puff adder ni kifutu ambae ni mfupi na wanauwa sana kuliko hata koboko
Koboko ndio huyu wanaogopa hata kumtaja jina na ndio huyu black mambas
Huyu hapa anaezungumziwa
Hebu msome kidogo View attachment 766058
kifutu ni nyoka mpole 'mpole hata akifa ukujikwangua na mifupa yake huwa inaishi na sumu yake inaozesha eneo la ngozi ni hatari haswa
 
Hapana mkuu umechanganya kidogo, huyu koboko ni puff adder kama sijakosea huwa ni mfupi na mnene. Black mamba ni mrefu na mwembamba ndie huwa anaitwa kiss of death
Koboko ni Black Mamba ndugu. Puff Adder ni mwingine nadhani ni kifutu
 
Mbona siyo kweli chief.

Kwa sababu koboko siyo miongoni mwa most venomous snakes na hana fatalities kubwa ukimlinganisha na puff ader.
Msichanganye vitu,

Koboko(black mamba) wako was aina moja na wote wanatabia zilezile

Ila

Puff adder( kifutu) wako aina wengi sana duniani.

Puff adder Wenye sumu Kali sana, ni wale wa Jangwani na maeneo yenye ukame sana.

Hawa wakikugonga, huchukui ddk 15 ile sehem ulogongwa inaanza kuoza.

Ijapokua hufi haraka.

Ila kwa black mamba, hakuna mbwembwe za kuanza kuoza.

Kinachotokea ni kuanza kubadilika rangi ya ngozi kua black/blue

Kisha ndani ya 10-20min baada ya kugongwa, Inakua ni kifo.

BLACK MAMBA AKIKUGONGA UTAKUFA HARAKA SANA,

ILA KIFUTU AKIKUGONGA, HUFI HARAKA,BALI UTATESEKA SANA.
 
Na mambas pia wapo wa aina nyingi, kuna Green Mamba (Western na Eastern) na kuna Jameson Mamba.

Jameson Mamba sumu yao inaweza kuua kuanzia dakika 15 mpaka baada ya masaa 2. Lakini ni kawaida mtu kukaa na hiyo sumu kuanzia saa 4 mpaka 6.

Na pia rate ya fatalities haimaanishi kua huyu nyoka ana sumu kali wakati mwingine humaanisha antivenom ipo ya kutosha na watu wanajikinga vizuri. Au inamaanisha nyoka A hukutana na watu mara kwa mara kuliko nyoka B.
 
Pamoja na ukali wake wote, nyoka huyu anamuogopa mnyama mmoja mdogo sana aitwaye Nguchiro (Mongoose).
 
Mkuu mi mwenyewe hua sielewi wale snake hunter hua wanawachezea sana hao koboko ila nahisi ni tofaut na wa uku bongo kwa sababu wasukuma na wanyamwez ni mabingwa wa kushika nyoka ila kwa kile kifaa hua kinawatoa jasho
Aisee,
Snake hunter wenyewe huwa wanawakamata ila kwa tahadhar sana.

Na wenyewe pia wakishajua huyu ni black mamba, basi huwa makini zaidi.

Wakishamnasa, wanabana sana mdomo ili asipate chance ya kutema sumu au kungata.

Fasta fasta wanamfunga kwny kiroba na kusepa nae
 
Kama unatembea polini ndani ya mita mia au zaidi anakua amekusikia basi yeye anasepa zake upande mwingine

Ndio maana kumuona sio rahisi na ukiona kajitokeza mbele yako ujue amekasirishwa au una mkosi sio rahisi kumuona

Luna watu wanaishi maeneo yenye koboko hawajawahi kumuona kabisa
 
Back
Top Bottom