Nilirudi mwaka jana baada ya miaka 12 kutoka huko, haijabadilika kabisa mkuu, yani mjini ipo vile vile, sana sana nimekuta fence kuuubwa kanisa la mihayoHahaa umenikumbusha mbali mkuu,uzuri wa wataalam wa Mboka huwa wako vizuri.
Daah!! Mboka,mji niupendao.Nilirudi mwaka jana baada ya miaka 12 kutoka huko, haijabadilika kabisa mkuu, yani mjini ipo vile vile, sana sana nimekuta fence kuuubwa kanisa la mihayo
Ila sasa pangaboi inafika kule, ati least imerahisisha, nataka niende mwezi ujao mitaa ya kaliua nikanunue asali manake inakuwa ya kumwaga mida hiyo na bei chiniDaah!! Mboka,mji niupendao.
Wasalimie bhana mimi nimeoa muha huku Dar naona kanifanyia mambo sikumbuki hata nyumbani hahaha.Ila sasa pangaboi inafika kule, ati least imerahisisha, nataka niende mwezi ujao mitaa ya kaliua nikanunue asali manake inakuwa ya kumwaga mida hiyo na bei chini
Hahahaha, mwambie mwin'diwe!!!Wasalimie bhana mimi nimeoa muha huku Dar naona kanifanyia mambo sikumbuki hata nyumbani hahaha.
Huyu koboko amekomaa bhana,koboko akifikia kimo hiki hata Tembo huwa wanatoka baruti.Mimi namtaja sana lakini naishia kuona picha tu
View attachment 766100
Huwa siogopi nyoka na napenda kukutana na kupambana nao, ila hili jamaa niwe nalisikia tu. Limewahi kuua familia ya jirani mwaka 1979, enzi za vita vya Tz Vs Ug... Familia nzima ya watu 12 (baba, mama & watoto 10) ndani ya handaki...Huyu koboko amekomaa bhana,koboko akifikia kimo hiki hata Tembo huwa wanatoka baruti.
Wazee wa kisumbwa mimi huwa nawakubali.Koboko habari nyingine, ila kuna mzee mmoja kijijini wilayani Mbogwe
Nyoka ana ladha kama ya kamongo.Ilikuwa na ladha gani? Maana nyoka wengi wa ladha ya kuku kwa mbali
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kuna koboko mmoja alikuta roli la madawa limeanguka vidonge vikawa vimesambaa kila mahali kwa njaa zake koboko yule akala Viagra basi alisimama mwezi mzima.
Hasa akiwa ametafuna bangiNdiyo mkuu walikua mazishini kile kifaa hua akipendi kelele
Huyu nyoka ni tishio....Sijawahi kuona nyoka mpelelezi kama Koboko huwa anasimama ana angalia ndio ana anza kukukimbiza.View attachment 766457