madhabaunyeusinyeusi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 200
- 98
Iko safi next time tupe ya NNGE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mungu atupe uhaiIko safi next time tupe ya NNGE
Anatanua lakini si kama kobra ww ndo umechanganya mafailiUmechanganya habari brother.... black mammba huwa hatanui shingo....
Only cobra do that....
We umekulia ilala cobra huyo?.huyu ni cobra na si black mamba.......bro unafanyia wapi tafiti zako bro.
Nyoka wa Kijani ni Green Mambakuna black mamba ambaye sisi tunamwita nyoka wa kijani na ni wa kijani kweli
Huyo ni green Mamba.kuna black mamba ambaye sisi tunamwita nyoka wa kijani na ni wa kijani kweli
Green mamba huyo. Pia Ana sumu kali ila Green mamba sio balaa Kama black mamba. Black mamba huogopewa sana kwa sababu ana spidi balaa, anang'ata zaidi ya Mara Moja na pia ni mpenda vurugu sana. Nyoka wengi mkikutana first instinct huwa ni kutoroka n'a watakuvamia tu iwapo watahisi wamo hatarini. Black mamba ni tofauti hapo.kuna black mamba ambaye sisi tunamwita nyoka wa kijani na ni wa kijani kweli
Nitajaribu wengine wataongeza/sahihisha,tofauti yao kubwa ni uwezo wa ku-attack,black mamba ana uwezo wakupiga(gonga)mapigo 50 yenye uwezo wakuangamiza kwa wakati mmoja sio kama nyoka wengine mara moja tu wanakuwa kibisa,means pigo la kwanza mpaka la hamsini ni sawa,na yote kwa shabaha ya hali ya juu,anapenda changamoto(kuchokoza)yaani hana nidhamu ya uwoga na ana uwezo wakuona mbali pia kutembea juu kwa juu umbali mrefu(hutumia miti)pia ana uwezo wakukimbia speed kali huku anagonga(nyoka wengine wakitaka kugonga hufanya kama kujigandamiza chini ili waweze kufyatuka Mamba hasimami anamalizana na kilichopo mbele yake huku akikimbia)na sehemu kubwa ya mwili wake ikiwa juu(yaani anakuwa kama anatembelea mkia)sumu yake uki-survive hutokaa sawa,unapata kitu kama utindio wa ubongo maisha yako yote.niliuliza wataalamu wa viumbe siku moja kwenye maonyesho ya saba saba wakaniambia cobra ana kiwango cha hasira,ukimkosa kosa kumuua/jeruhi akakuwahi na kukugonga dk zako 45 unarudisha namba,ila hamad huyu hapa akikugonga unaweza kukaa hadi masaa 4/5 ukiwa hai,ila huyu jamaa dk zako 30/25 unabadilika na rangi blue sio blue nyeusi sio nyeusi.
Green mamba na Bkack Mamba wanatofautiana kitu kimoja.Black Mamba mara nyingi huwa shy na huepuka migongano /confrontation na binadamu na viumbe vyengine na hivyo hutokea mara chache kugonga mtu wakati Green Mamba wao ni wepesi katika kupambana/kuwa na confrontation na binadamuGreen mamba huyo. Pia Ana sumu kali ila Green mamba sio balaa Kama black mamba. Black mamba huogopewa sana kwa sababu ana spidi balaa, anang'ata zaidi ya Mara Mona na ni
Nakotokea tunamuita Usale sijui ndiye huyu au lah!kipindi nakua alinidondosha juu ya mti wa maembe sina hili wala lile mara yule pale,alikuwa kwenye tawi nililokuwa sasa akawa kama anahangaika sikujua kama alikuwa anahangaika kukimbia au ndiyo akitafuta timing anigonge mimi kwa mapepe yangu nikaachia tawi huyo mpaka chini,maumivu ya kudondoka nilienda kuyasikilizia miguuni mwa bimkubwa.nikikumbukaga bwana!Wa kijani ni Green Mamba...
Tunapoambiwa anti venom laki nane tukubari tu maana utafiti wake si wa mchezoAisee huyu jamaa ana moyo mgumu mm siwez kbs kuwa mtafiti ni muoga sana
hii mada ilisha jadiliwa humu embu jaribu kuupitia huu uziHuyu ni moja ya nyoka wenye kasi zaidi na wenye sumu kali zaidi duniani. Nyoka huyu hujulikana kama KOBOKO au Black Mamba, hupatikana katika sehemu za Mashariki na Kusini mwa Afrika na huishi katika Makazi yoyote ambayo hutoa joto na unyevunyevu. Nyoka huyu akitaka kufanya shambulio hutanua kinywa chake na shingo yake na hutoa sauti kama ile ya tairi likiwa linatoa upepo. 'Black mamba' ana aina mbili ya sumu zinazozalishwa katika mwili wake moja ni huitwa (Neuro) hii huathiri mfumo wa neva na nyingine ni (Cardio-toxin) hii huathiri mfumo wa moyo na sumu hizi zinaweza kuua binadamu chini ya dakika 20. Pia imethibitika kuwa matone mawili ya sumu yake yanaweza kuua lakini mbali na kiasi kikubwa cha sumu kali sana aliyonayo, Koboko hana ujanja mbele ya Nguchiro, Mbweha na Nyegere.
Asantehii mada ilisha jadiliwa humu embu jaribu kuupitia huu uzi
Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani una weza pata lakuongezea kwenye mada yako ndg onebigrocktz
But it is true...the snake is very aggressiveUmechanganya habari brother.... black mammba huwa hatanui shingo....
Only cobra do that....