Koboko ni level nyingine kabisaa yaani sio simba,chui,chatu, cobra wote unawajua wewe ni wachumba mbele ya koboko.
Simba au chui mkiwa watu wawili au watatu mmeshika mawe au mna silaha za jadi simba mwenyewe anakimbia mkimbia lakini sio koboko.....
Yaani hata muwe watu 100 na mna silaha za moto na mabomu ya machozi mbele ya koboko ni sawa mnajisumbuaaa buree kwa sababu ana uwezo wa kupambana na jeshi zaidi ya miaa na akawauwa watu woteee na hakuna atayebakia salama
Kwa kifupi tuu koboko ni jeshi la mtu mmoja