Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Ni kwa sababu koboko akikugonga kama uko porini jihesabie umekufa tayari. Huyu nyoka akikugonga huwezi chukua zaidi ya dakika 7 bila kupata matibabu la sivyo umauti unakukuta na kugeuka kuwa mzoga wa fisi. Ni hatari sana na wanapatika kila mkoa hapa Tanzania si Tabora na Kigoma tu, wanapatikana kila mikoa ya kusini mwa Tanzania na ukaa misituni kwani hawapendi kelele na adui wao mkubwa ni mwanadamu. Pia kuna nyoka huko mkoa wa Ruvuma anakaa mapangoni ama pori lililoshiba, huyu nyoka ni jamii ya koboko pia ila nafikiri yeye ni zaidi ya koboko kwa ukali. Huyu nyoka kwa jina la kiutaalam sijuwi anaitwaje ila nafikiri wakazi wa Ruvuma wanaweza kumjua. Huyu nyoka akisikia tu sauti ya watu LAZIMA atakuja kuangalia sauti zao zinatoka wapi na akiona watu anakwenda kuwashambulia kisha kurudi mapangoni mwake. Huwa hapendi kabisa kusikia sauti hata kama kuna mnyama anakula nyasi karibia na pango lake LAZIMA akamdunge dozi ya kifo, wawindaji wa wanyama pori wakishaona mnyama kafa kifo tata, wanapita kwa kunyata hilo eneo bila kuzungumza kuhofia kifo. Ni nyoka mmoja hatari sana.
 
Kapicha plz
 
Koboko ameshawahi kumgonga mlevi ambaye alikuwa amelala fofofo watu waliokuwa karibu walimuona kiboko akimng'ata. Koboko halafu akawa anawaangalia wale watu walio karibu watu wale ilibidi wakimbie waliporudi na mapanga mikuki Koboko hawakumkuta koboko yule.
 
Swala la Koboko kuung'ata mkia na kuanza kubiringita kama tairi la baiskeli lina ushahidi.
hqdefault.jpg
 
Siku hizi haya maisha ya kuwarithisha wajukuu wetu hayapo yamebaki kidogo sana
storytelling-copy.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
A 13-year-old Zimbabwean boy has died after being bitten by a black mamba in the south of the country.

The privately-owned Southern Eye newspaper reported that the boy was bitten twice on Monday morning. Relatives rushed him to St Luke's Hospital in rural Lupane district but he died at noon because there was no anti-venom to treat him.

"The whole of Lupane [has] no anti-venom medicine," the newspaper said. "There was nothing much the boy could receive as treatment."

Black mambas are among the deadliest snakes in Africa. A bite can kill in hours. Anti-venom exists for black mamba bites but it is not widely available in Zimbabwe.

Cases of patients surviving if they are put on a life support system have been recorded in the region. A man died at the same hospital last week after a puff adder bite, the Southern Eye reported.

- Daily Sun
 
Polokwane - An elderly woman from Mokopane is in a critical condition after being bitten by a black mamba she was trying to chase off with a can of insecticide and a broomstick, according to a report on Friday.

Sarie Senekal, 76, was airlifted to the Polokwane Provincial Hospital in a critical condition on Wednesday afternoon, Beeld reported.

According to her daughter, Frieda, the snake bit her mother in a neighbour's flat after she tried to evict it with a can of fly spray and a broom handle.

"She apparently tried to beat the snake to death with the broom before it bit her twice on the leg. She called me and said: 'My child, a snake bit me'."

She was on a ventilator in the high-care unit in the hospital.

Cobra bite

In a separate incident, an elderly woman from Polokwane is in a serious but stable condition after she was bitten by an Egyptian cobra that had crawled into her daughter's car, reported The Citizen newspaper.

Sannie Roos, 74, was in the intensive care unit in Medi-Clinic Limpopo.

She was picked up by her daughter after a shopping trip, and after they drove off she felt a sharp pain in her foot.

She was taken to hospital and the snake was later found hiding in the car's air vent.
 
Nguchiro bana, kamuona Boomslang amemeza kitu kama ndege akamfuata.
b8aeedd129e3182f41d405.jpg
 
Back
Top Bottom