Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Huyu ni black mamba kwa jina lingine ni mweusi wa kung'aa na jina hili la black ni kwa sababu ndani ya mdomo wake ni mweusi sana na cha ajabu akipanua mdomo utafikiri jeneza.
Wa Kijivu, mweusi wa kung'aa ni SWIRA au COBRA kwa kiingereza!
 
Hapana mkuu umechanganya kidogo, huyu koboko ni puff adder kama sijakosea huwa ni mfupi na mnene. Black mamba ni mrefu na mwembamba ndie huwa anaitwa kiss of death
Puff Adder ni Kifutu, Black/Green mamba ni Koboko, Cobra ni Swira!
 
Mlo unapotokea mbavuni, hawa nyoka wote walikutwa wamekufa Brown snake alimla black snake naye akatoboa na kutoka nje.
images-6.jpg
 
Man dies following black mamba bite
Posted on 8 April, 2015 by News Desk in News and the News Desk post series. — 1 Comment
Posted: April 8, 2015

EXTRACT FROM THE FOLLOWING THIRD PARTY SOURCE: Mpumalanga News

A man in his his early 30s was killed after he was bitten by a black mamba. According to an eyewitness the man was with others in a field when the slithering creature surprised them. “I think the snake got defensive when they tried to kill it. They then tried to run away when they saw it becoming too vicious and unfortunately the man was bitten,” said the witness.

mamba.jpg


Local police were called and the man was rushed to hospital but he was certified dead on arrival. According to the police a search for the snake was conducted and it was found and taken to the local police station.

Here are tips from Siyabona Africa Nature on what to do if you encounter a snake in the bush.

*When hiking in the bush it is important that you do not pick up, poke or provoke any snake that you come across, even if it appears to be dead – some snakes such as the Rinkhals play dead, and can strike if disturbed.

*If you discover a snake, do not approach it closely. If you step on a snake or are very close to a puff adder then move away quickly.

*If the snake is only about a meter away, freeze at first and see the snakes reaction – it will likely look for an escape route. If it is cornered, back away slowly. If you move slowly you are not perceived as a threat and the snake is less likely to strike.

*Observe the snake. If the snake stays slithering on the ground it will likely move away and not strike. If the snake rears up like a cobra and flattens its neck to form a hood then it is aggressive and is likely to strike and you need to act with caution. Pythons and adders move forward in a straight line, other snakes move using side-to-side undulations.

Treatment of snake bite

If you are bitten by a neurotoxic snake such as a cobra or mamba:

* Stay calm and breathe gently.

* Immediately apply a crepe bandage firmly around the wound, as if for a muscle sprain. This will reduce the amount of venom entering the bloodstream but should not cut off circulation.

* Do not apply a tourniquet.

* Never try and suck the venom out.

*Transport the person to hospital as soon as possible as these snakes have potent venom and anti-venom will be needed.

If you are bitten by a cytotoxic snake such as an adder:

* Drink plenty of fluid unless you have trouble swallowing.

* Apply a sterile dressing to the wound.

* Never try and suck the venom out with your mouth.

* Do not squeeze the bite.

* Do not apply a tight bandage or tourniquet.

*Transport the person to hospital as soon as possibl
 
Jinsi nilivyo mimi huwa ni muoga wa nyoka totally.Nikishakutana na nyoka kichwa huwa kinapoteza network yani huwa sisubutu hata kutafuta fimbo au silaha kumshambulia nyoka nikiwa peke yangu. Nakumbuka nilipokwenda kumtembelea Marehemu mjomba Tanga ilikua 2002 aliniambia usijaribu kumshambulia nyoka uliyekutana nae porini, Kwani yule anamambo yake akanisihi nyoka wengine ni wakali hawataki kuchezewa. Nahihisi alikua anamaanisha koboko, akaniambia nyoka aneatakiwa kuuliwa ni yule tu utakaemkuta ndani Kwako.
My experience on Puff adder (kifutu), huyu nyoka nimeshakutana nae mara kibao na wapo kwa wingi sana Bagamoyo yani huyu nyoka mnapomzungumzia hapa kwenye hii thread mpaka naogopa,kama kuning'ata huyu nyoka ingekua kitambo kashanimaliza . Nimeshaweka mara nyingi (lakini bila kujua) mguu wangu karibu na kichwa chake yani sentimita chache bila madhara yoyote yani anasubiri mpaka umkanyage. Hapo atakugonga kama haujamuona (huwa anagonga binadamu kwa kujihami/self defence) ila ukimuona ni vigumu kukushambulia Kwani mzito alafu hapendi ugomvi ukimtupia hata kijiti anaondoka. Ni kawaida sana kuwakuta watoto wanamchezea huyu nyoka kwenye vichaka wanamtupitupia fimbo, mawe mpaka wanamuua.
My little experience on black mamba (koboko) siku moja Nilikua chunya mbeya nasimamia mtaro wa fiber, nakumbuka tulikua wawili at that time simfahamu koboko. Wakati natembea na mtaro nakagua dimensions nikakuta kuna sehemu mtaro umepita kwenye kichaka kizito before kuelekea mbele zaidi Nilikuta nyoka mweusi mkubwa anaurefu kama mita 1 alafu mnene kiasi amekufa kwenye mtaro nywele zikasisimka nikaanza kuogopa. Niliposogea mbele mita kama kumi na tano nikakuta nyoka wawili wa aina mbili tofauti mmoja ana rangi ya kijivu alafu mwemba mrefuu na mwengine alikua na rangi nyingine nikashikwa na butwaa hawa nyoka vipi maana mmoja wa rangi ya kijivu (koboko) alitulia nikafiri amekufa mwingine anajigeuzageuza kama kamwagiwa mafuta ya taa, nikaangalia vizuri nikaona kumbe yule koboko amemg'ata kichwa mwenzake nilivyoona vile nikarudi taratibu nilipofika mbele nikakimbia. Mara naona jamaa ananifata anahema ananiambia lile eneo nisifike kuna nyoka mkali anaitwa koboko ameshawafukuza vibarua waliokua wanachimba mtaro. Lile eneo ckukanyaga tena mpaka naondoka chunya. Ila ninaamini kilichoniokoa ni woga wangu laiti kama ningethubutu kuwatibua wale nyoka pale nahisi ndio Ungekua mwisho wangu, lakini pia koboko mwenyewe hakuna mkubwa sana alikua na urefu kama wa mita moja ila ni mwembamba sana nahisi alikua na njaa.
Black mamba sio wakubwa , huwa ni wembamba na warefu. Kinachofanya wawe tishio ni hiyo Sumu yao. Kabla ya ugunduzi Wa anti venom ilikuwa ukiumwa na koboko kifo ni asilimia 100. Hata sasa hivi bado black mamba's bite INA mortality kubwa
 
Kuna sehemu nipo huku mkoani Tabora sehemu nilikuwa nimekaa nikasikia watu wakimsimulia nyoka aina ya koboko ambaye inasemekana anapatikana Tabora ,Shinyanga,Singida na Kigoma.

Kuna mtu mmoja katika mazungumzo yake alikuwa akisema ni bora ukutane na simba au chui unaweza ukapona kuliko koboko. Nilipojaribu kumuuliza alisema hayupo tayari kumuongelea kiundani wala kumtaja kwasababu ukiwa ndani ya mkoa wa Tabora au Shinyanga ni marufuku kumtaja huyu nyoka jinsi alivyoniambia.

Sasa kwa wale wanaomfahamu hebu tuelezeeeni kwanini koboko anaogopeka kuliko simba au chui?


-----

Pia soma...
Kawaida/kisayansi nyoka sio mchokozi, nyoka huchukua hatua ya kung'ata pale ambapo amejaribu kuondoka eneo la rabsha ikashindikana, akisikia hata vishindo vya nyayo za mtu lazima atafute jinsi ya kuepuka kukutana na wewe, kwahiyo kwanza atajaribu kuondoka, atakapokosa pa kuondokea/kutokea basi atajificha, na hapo ukimfuata tena ndio itabidi ajitetee.
Tukio lakufuatwa na nyoka katika mazingira ya kawaida ujue kwamba upande ulioko wewe ndio kauchagua kuwa na hatari kidogo (less risk/dangerous) kwa usalama wake, hili hutokea pale ambapo ameshasikia vishindo vingi vikitokea upande mwingine (kama vile ngombe/wanyama wengi wanakuja, au vishindo hata vya watu wengi) sasa kama unakotokea wewe kuna vishindo vichache basi ndiko atakakoelekea hata kama ni kukuface wewe, akutishie ukimbie ili na yeye akimbie, wengine hutanua kichwa kama Swira(cobra) afanyavyo(usipotishika atakutemea mate), wengine hutoa sauti nzito(kifutu hutoa sauti kama bata dume), koboko (Black mamba) yeye atasimama wima zaidi ya nusu ya mwili wake, ili kwanza akutishe,(intimidate) usipoonyesha kutishika hapo ndio atakung'ata.
swala lakumfananisha na simba au chui kwakweli ni makosa, uking'atwa na nyoka ghafla ujue umemkurupua au kakurupupushwa huko alikotoka na wewe uko kwenye njia yake ya kujiokoa, isipokuwa kifutu, kifutu ni nyoka ambaye utambaaji wake ni wa polepole sana na ndio maana kujihami kwake kitu cha kwanza hutegemea rangi yake na mazingira atayokuwa (camouflage) akitegemea kabisa kuwa hutomuona ila ukikaribia kumgusa na akitambua kuwa camouflage yake is compromised atatoa sauti ya warning (hooo) kama bata dume, ikishindikana ndio atakung'ata na kiukweli huyu kifutu reflex yake ya kung'ata is less than 0.15 sec, ni jamii ya nyoka ambao wanaongoza kwa strike speed, kiongozi akiwa nduguye 'DEATH ADDER' anayepatikana Australia, na hawa adder family ndio wanaongoza kwa kuua watu wengi kuliko koboko.
sasa Simba au chui hata kama hana njaa anaweza kukudhuru sababu ya territorial reasons, nyoka hukwepa kukutana na binadamu na ikishindikana atakutisha, akikutisha usipambane naye mwache apite aendelee na mbio zake, tatizo sisi tuna kasumba ya kujaribu kuua kila nyoka unayekutana naye. Huko porini wataalamu wa mambo hushauri kuwa ni lazima kutafuta sehemu ya kujibanza au kutulia kunapokuwa na movement kubwa ya wanyama au moto from the opposite direction sababu chini kwenye nyasi pia kunakuwa na viumbe wanaojaribu kukimbia hivyo vishindo au moto, chances za kukumbana na hawa viumbe ni kubwa sana.
Fuatilia kipindi cha Snake in the city
Snake City
Utapata ufahamu mkubwa kuhusu hawa viumbe na utakuwa salama ukiwa unajua nini cha kufanya ukikumbana na nyoka aliyecharuka.
 
Black mamba sio wakubwa , huwa ni wembamba na warefu. Kinachofanya wawe tishio ni hiyo Sumu yao. Kabla ya ugunduzi Wa anti venom ilikuwa ukiumwa na koboko kifo ni asilimia 100. Hata sasa hivi bado black mamba's bite INA mortality kubwa
Umemsahau 'Boomslang' na 'Taipan' chief!google uone maajabu yao! bahati nzuri Africa hatuna Taipan ila Boomslang yupo southern Africa.
 
Kuna clip moja you tube nimetoka kuiona now, huyu koboko kaingia ndani ya kiota cha vifaranga ( lkn vikubwa kubwa tu ka kuku) vya ndege, ni mkubwa sana,nusu mwili kauingiza mle ndani maana kiota chenyewe kimetobolewa kwenye mti mkubwa, na nusu mwili kauacha kwenye mti kumbe anaviziwa na kile kimnyama kinafanana na paka hivyo hivyo ( huwa kinapenda kurukia vindege kama kama kipa anavyodaka mpira!

Basi huwezi amini kamkata ule mwili nusu kakimbia nao!

Koboko yuko humo kwenye vifaranga anahaha mdomo uko wazi! Vifaranga nao wamepagawa full kelele hata hawaelewi kilichomkuta huyo koboko....
[emoji2] [emoji2] [emoji2] unavyoelezea sasaa.. Unajua kusimulia wewe haha
 
Hatari za nyoka
1. COBRA (wanaitwa spitting cobra) wanatema sana mate yanafika hata mita kumi, mara zote wanalenga macho na wakikupata unakuwa kipofu ukichelewa kunawa haraka na maji. Wataalamu wanasema wako precise kiasi kwamba akiamua kutema ana uhakika lazima yakupate machoni, hatemi ovyo ovyo.

2. Mambas (Black&Green) wanameno makali sana kama sindano yana tundu katikati (kama sindano ya hospitali) kwa ajili ya kupump sumu, akikung'ata anapump sumu kwa kiwango cha ukubwa wa adui, kiwango anachopump kwa panya sio sawa na anachopump kwa binadamu. Kwa wakati mmoja anakuwa na sumu ya kuua watu 20 kwa mara moja. Huyu black mamba anaongoza kwa mbio akikimbia unaona kama anateleza na kicha anakiinua kidogo wakati anakimbia.

3. CHATU (python) huyu hana sumu kabisa yeye anatumi nguvu tu kumnyonga adui mpaka afe. Ana misuli ina nguvu sana akikuvingirisha ni ngumu kujinasua, wataalam wanashauri akikukamata upambane nae sana usiogope sura yake mbaya tumia nguvu sana kujinasua.

MUHIMU: Kwa haraka haraka jinsi ya kumjua nyoka asiye na sumu na mwenye sumu.

-Nyoka mwenye macho ya round na makubwa hana sumu kabisa mshike tu hawezi kukufanya chochote (ni kama toy)

-Nyoka mwenye macho yaliyochongoka (yako umbo la oval) ukimuona kimbia sana atakuua huyo.

Duniani nyoka wenye sumu ni asilimia 25 tu 75 hawana sumu kabisa.
Mkuu m naonaga nyoka ni nyoka tu nikikutana nae ni mbio mpk miguu ivunjike
 
Koboko huwa anawahi kulala kisa Bundi,unaambiwa huwa anachukuliwa na kwenda nae juu sana thn anamuachia kisha kabla hajatua chini anamdaka tena na kumrudisha juu kisha kumuachia tena.Kila mbabe ana mbabe wake aiseh!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
hyu nyoka alimuua mjomba angu daah...nmekumbka mbali huyu mdudu ni hatar san[emoji26] [emoji24]
 
Back
Top Bottom