varangati
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,726
- 1,628
Kanimalizia bundle huyuJamaa fala sana wew
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanimalizia bundle huyuJamaa fala sana wew
Inaitwa"nia ya mkabaji"Nguchiro bana, kamuona Boomslang amemeza kitu kama ndege akamfuata. View attachment 770338
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]View attachment 770347
Boomslang na mlo wake uliokwama kwenye koromeo amekuwa mlo wa Nguchiro teh teh.
ha ha ha umewinda kwa manati niniMkonkotoro umenikumbusha mambo adimu sana yaani sijasikia hili neno miaka zaidi ya 20 asante
Ila kweli huyu jamaa huwa anatoka baada ya umande kukauka na kuanza kutafuta riziki
Tatizo kubwa binadamu ni hofu tulionayo na destur ya kujaribu kupambana na nyokaUkweli ni kwamba madirisha ya Aluminium yasipofungiwa nyavu ni hatari,huyu Koboko aliingilia dirishani akaenda kujibanza kwenye kabati ya nguo.
View attachment 772131
Duh,pole sana.Jinsi nilivyo mimi huwa ni muoga wa nyoka totally.Nikishakutana na nyoka kichwa huwa kinapoteza network yani huwa sisubutu hata kutafuta fimbo au silaha kumshambulia nyoka nikiwa peke yangu. Nakumbuka nilipokwenda kumtembelea Marehemu mjomba Tanga ilikua 2002 aliniambia usijaribu kumshambulia nyoka uliyekutana nae porini, Kwani yule anamambo yake akanisihi nyoka wengine ni wakali hawataki kuchezewa. Nahihisi alikua anamaanisha koboko, akaniambia nyoka aneatakiwa kuuliwa ni yule tu utakaemkuta ndani Kwako.
My experience on Puff adder (kifutu), huyu nyoka nimeshakutana nae mara kibao na wapo kwa wingi sana Bagamoyo yani huyu nyoka mnapomzungumzia hapa kwenye hii thread mpaka naogopa,kama kuning'ata huyu nyoka ingekua kitambo kashanimaliza . Nimeshaweka mara nyingi (lakini bila kujua) mguu wangu karibu na kichwa chake yani sentimita chache bila madhara yoyote yani anasubiri mpaka umkanyage. Hapo atakugonga kama haujamuona (huwa anagonga binadamu kwa kujihami/self defence) ila ukimuona ni vigumu kukushambulia Kwani mzito alafu hapendi ugomvi ukimtupia hata kijiti anaondoka. Ni kawaida sana kuwakuta watoto wanamchezea huyu nyoka kwenye vichaka wanamtupitupia fimbo, mawe mpaka wanamuua.
My little experience on black mamba (koboko) siku moja Nilikua chunya mbeya nasimamia mtaro wa fiber, nakumbuka tulikua wawili at that time simfahamu koboko. Wakati natembea na mtaro nakagua dimensions nikakuta kuna sehemu mtaro umepita kwenye kichaka kizito before kuelekea mbele zaidi Nilikuta nyoka mweusi mkubwa anaurefu kama mita 1 alafu mnene kiasi amekufa kwenye mtaro nywele zikasisimka nikaanza kuogopa. Niliposogea mbele mita kama kumi na tano nikakuta nyoka wawili wa aina mbili tofauti mmoja ana rangi ya kijivu alafu mwemba mrefuu na mwengine alikua na rangi nyingine nikashikwa na butwaa hawa nyoka vipi maana mmoja wa rangi ya kijivu (koboko) alitulia nikafiri amekufa mwingine anajigeuzageuza kama kamwagiwa mafuta ya taa, nikaangalia vizuri nikaona kumbe yule koboko amemg'ata kichwa mwenzake nilivyoona vile nikarudi taratibu nilipofika mbele nikakimbia. Mara naona jamaa ananifata anahema ananiambia lile eneo nisifike kuna nyoka mkali anaitwa koboko ameshawafukuza vibarua waliokua wanachimba mtaro. Lile eneo ckukanyaga tena mpaka naondoka chunya. Ila ninaamini kilichoniokoa ni woga wangu laiti kama ningethubutu kuwatibua wale nyoka pale nahisi ndio Ungekua mwisho wangu, lakini pia koboko mwenyewe hakuna mkubwa sana alikua na urefu kama wa mita moja ila ni mwembamba sana nahisi alikua na njaa.
Haaaahaaaa....watu mna minenooWewe jamaa ndie koboko mwenyewe nini ? Maana ulivyocheza na huu uzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Duh basi huyu koboko atakuwa kumamae sana. Siendi Tabora hata nikirogwa...
Kifutu ni kitu tofauti kabisa..puff adder kwa kiswahiliHivi koboko ndio anaitwa kifutu kwa jina lingine?
Haaaahaaaa...mamaaaae huyo ndo koboko!Yani gari impitie juu afu asife? Hapa tunazungumzia nyoka au shetani?
Huyu si wa kukutana naye, Ee Mungu naomba unisikie.
Sorry nimekujibu hapo juuha ha ha umewinda kwa manati nini
Duu uko vitani maana nimekumbuka ghafla vitaHaaaahaaaa...mamaaaae huyo ndo koboko!
Ukikutana nae jiue tu mwenyewe kabla hajakugonga!
Tai ndo Eagle?Huyu Tai na njaa zake huwa anagongwa na koboko mara kwa mara.View attachment 770180
Eagle mshenzi tu na yeye....much know mnoo, kujifanya hakoseagiHuyu Tai na njaa zake huwa anagongwa na koboko mara kwa mara.View attachment 770180
Kiswahili kingine ni Mwewe.ndio Eagle africanus.Tai ndo Eagle?
Hivi mkuu,Nyegere wakitafuta vinyegere vingine vichizi vichizi jike linasema pizi fasta bhanaa.View attachment 772223