T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,101
- 4,560
Unachanganya majaladaHapana mkuu umechanganya kidogo, huyu koboko ni puff adder kama sijakosea huwa ni mfupi na mnene. Black mamba ni mrefu na mwembamba ndie huwa anaitwa kiss of death
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unachanganya majaladaHapana mkuu umechanganya kidogo, huyu koboko ni puff adder kama sijakosea huwa ni mfupi na mnene. Black mamba ni mrefu na mwembamba ndie huwa anaitwa kiss of death
Inabidi kuwatafuta Koboko ili shughuli hatari ya kuwakamua sumu, halafu kuwachoma punda kwa kiwango kidogo kidogo ili watengeneze kinga, tatizo kubwa la hospitali zetu ni kwenye uhifathi wa nizi antidotes, zinatakiwa majokofu ya uhakika na umeme,kitu ambacho huko wilayani ni shida sana kwa hiyo dawa ni kuchukua tahadhari wakati unapoingia pori.Duu inabidi wataalamu watengeneze za kwetu ili zipungue bei
Inabidi kuwatafuta Koboko ili shughuli hatari ya kuwakamua sumu, halafu kuwachoma punda kwa kiwango kidogo kidogo ili watengeneze kinga, tatizo kubwa la hospitali zetu ni kwenye uhifathi wa nizi antidotes, zinatakiwa majokofu ya uhakika na umeme,kitu ambacho huko wilayani ni shida sana kwa hiyo dawa ni kuchukua tahadhari wakati unapoingia pori.
Kitu kingine ni 'kipaumbele' kwenye Serikali zetu ni mbu kwanza Koboko baadae mbu ni hatari kuliko Koboko ukiangalia Maralia inauwa kuliko Koboko.Nimekuelewa sana
Kwanza kule kujali ndio hakuna kabisa
Maana hiyo dawa kuihifadhi labda private wawe fund
Yaani nimekumbuka ghafla hospital wapo kwenye upasuaji halafu umeme unazima wanaambiwa wakawashe generator kumbe nako walishapitia na mafuta na tank empty kabisa
Shida tupu
Anatia timu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Koboko ukimtajataja sana anatia timu.hiyo ni fact lakini sijui ni kwa nini?! Hapa inabidi utafiti.
Uwezo wa kuendelea kusurvive bite ya black mamba ni dakika 30 maximum, hiyo tiba unaipata wapi mkuu ndan ya muda huo!!A snakebite doesn't mean a death sentence
Hata black mamba watu wengi wamepona kwa tiba
Ila nasikia akikugonga huponiMzembe sana mkuu yani huyo nyoka usipo mkanyaga akugongi ng’ooo
Kitu kingine ni 'kipaumbele' kwenye Serikali zetu ni mbu kwanza Koboko baadae mbu ni hatari kuliko Koboko ukiangalia Maralia inauwa kuliko Koboko.
Nyoka koko[emoji1] [emoji1] [emoji1]Kweli mkuu yule ni nyoka koko
et kwamfano mm ni koboko nikikung'ata utakufa au maana nnae koboko wangu apaIla nasikia akikugonga huponi
Uki panic kosa lakini ukiangalia kuna wengine wanafikishwa mpaka hospital kwa hata masaa mawili na wanaanziwa na tibaUwezo wa kuendelea kusurvive bite ya black mamba ni dakika 30 maximum, hiyo tiba unaipata wapi mkuu ndan ya muda huo!!
Wapo wanaoacha meno pale alipogonga lakin kwa koboko ni habari nyingine. Kama ni uwanjani anaweza kugonga wachezaji wote wa timu zote mbili tena kwa kiwango kile kile cha sumu bila kupunguza. Mdomo wake ni jeneza mkuuHivi huyu KOBOGHO yeye haachi meno kwenye jeraha, maana zamani hizo tuliambiwa nyoka akikung'ata anaacha meno eti hadi yaote tena.. Na hapo anakua hana uwezo wa kugonga..
Nataka niwe mjuzi wa wakushika hawa wadudu, tz chuo gami kinafundisha?Hapo yupo uvunguni
Na baadae kukamatwa na mtaalamu wa majoka
View attachment 775052View attachment 775053
Kwa Tanzania sidhani kama kuna shuleNataka niwe mjuzi wa wakushika hawa wadudu, tz chuo gami kinafundisha?
Hiyo ya kioo kuna koboko aligonga windscreen ya Scania ile sumu ilitapakaa kioo kizima, watu wengi hawawezi kuamini lakini kile kioo kiliharibika maana kwenye jua huoni kabisa maana mwanga unakuumiza kama kioo kilichoharibika kwa mchanga mda mrefuhuyo mdudu acha kabisa alitukimbiza kwenye landcruiser vumbi lilisimama kila mtu alijikojolea alipiga kioo cha gar mpaka kika weka mistar ya kijan,,ngoma ipo spid 80 lakin huyo mdudu alikuwa yupo sambamba na kioo cha dereva,wanaosema anakimbia spid 20 nawakatalia kabisa huyo mdudu ana kasi sana hata kama yupo mita mia huwezi kuwahi hata kuokota jiwe ameshakufikia,,huwa anambinu yake ya kumuu na mnatakiwa muwe weng kuanzia watano,, acha kabisa huyo mwamba ni nuksi ila huku tabora wapo weng ila ni ngumu sana kukutana na koboko asilimia 99 yeye ndo lazima aanze kukuona na kama ukikuta alishawah kujeruiwa na binadamu ndio anakuanzishia ambush ila kama hajapata dhoruba yoyote akikuona tu anawah kujificha kabla ya wew kumuona,,ukiona kajitokeza na ukamuona ujue ni balaa hilo kuwa mpole tu
Mwezi tu! Kumbe sio ngumuKwa Tanzania sidhani kama kuna shule
Lakini unaweza kwenda India kuna college mpya imefunguliwa na certificate unaipata kwa mwezi mmoja.
Na diploma kwa miezi 6 utafundishwa kila kitu kuhusu nyoka sio kuwashika tu mpaka kuwatambua aina zote za nyoka duniani na tiba zake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna nyoka wanafiki sana, sasa huko anaenda wapi?