Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa samaki huwa hawatabiriki.angalia damage naada ya watu waliokuwa wanaogelea kuwakanyaga.Kumbe mbaya sana
Mimi huwa naona watu wanamkaribia na kupiga picha na kumchezea
Sisi huku kigamboni tunalia na ugali, ni mtam sana ana minofu na mifupa laini hahah mtam sana huyo mdudu taaKumbe mbaya sana
Mimi huwa naona watu wanamkaribia na kupiga picha na kumchezea
Kwa kweli kifo chake kililiza wengi sana wapenda wanyamaAna sumu mkiani. Steve alijifanya kumkaribia sana kumbe kamshtukiza. Hakuchukua hata nusu saa keshafariki.
Papa (Shark) mwenyewe huwa analiwa lakini hakufuti ukweli kuwa ni kiumbe hatari.Sisi huku kigamboni tunalia na ugali, ni mtam sana ana minofu na mifupa laini hahah mtam sana huyo mdudu taa
Itabidi nikija nimle tuSisi huku kigamboni tunalia na ugali, ni mtam sana ana minofu na mifupa laini hahah mtam sana huyo mdudu taa
Hawa samaki huwa hawatabiriki.angalia damage naada ya watu waliokuwa wanaogelea kuwakanyaga.
View attachment 776757
View attachment 776761
View attachment 776763
The Barb mwiba huo unasumu kali sana.
Kuna kipindi Steve alizushiwa kuwa kafa kipindi cha nyuma.Hakuna alietegemea atakufa hivyo
Kuna kila saizi kuna wadogo saizi ya kati wakubwa na wakubwa sana.Halafu ni wakubwa
Sio wadogo kama watu wanavyofikiria
Kwa hiyo huo mwiba anauachia moja kwa moja na baadae unaota mwingine au anayo mingi?Hawa samaki huwa hawatabiriki.angalia damage naada ya watu waliokuwa wanaogelea kuwakanyaga.
View attachment 776757
View attachment 776761
View attachment 776763
The Barb mwiba huo unasumu kali sana.
Hao wakubwa sana ni rafiki kwa binadamu naonaKuna kila saizi kuna wadogo saizi ya kati wakubwa na wakubwa sana.
Duuuuu wapi huko mzee mzima?Koboko ana hatari sana kuna najiandaa kutoka kufungua mlango ghafla namuona koboka kasimamisha kicha ilibidi nibane mlango faster na sehemu zilizo wazi...Nikiwa namsikilizie asepe ile nachungulia dirishani bado mzee katulia kakunja na nne kabisa ananisubiri...mzee nikaamua niwashe kininga niangalie zangu season eeh ghafla nasijia ko ko mlango unagongwa nikajua mzee koboko anataka nae anataka kuja kucheki season ghafla nikasikia na sauti inafuata hodiii alhamdulilah kumbe jirani yangu hapo ndio nikajua mzee koboko uvumilivu umemshinda huyu jirani asingeufikia mlango lazima angechezea kwa mzee koboko...Aisee sikia kwa wenzio huyu jamaa koboko ana hatari sana tena umkute ana stress zake za mapenzi utaisoma namba