Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

120612.jpg

Steve akiogelea juu ya samaki Taa,ukiangalia vizuri utaona yuko karibu sana na mkia.
 
120611.jpg

Hapa ukiangalia Steve anaendelea kuogelea karibu na mkia wa Taa huyo,hawa samaki huwa hawatabiriki
 
WP4OHUDFUVAWLJUNLI6YROZOOA.jpg

Hapa utaona kesha dungwa kajishika kifuani mwiba umeingia deep umetoboa moyo wa Steve na kusababisha kifo cha nguli huyu.
 
Koboko ana hatari sana kuna najiandaa kutoka kufungua mlango ghafla namuona koboka kasimamisha kicha ilibidi nibane mlango faster na sehemu zilizo wazi...Nikiwa namsikilizie asepe ile nachungulia dirishani bado mzee katulia kakunja na nne kabisa ananisubiri...mzee nikaamua niwashe kininga niangalie zangu season eeh ghafla nasijia ko ko mlango unagongwa nikajua mzee koboko anataka nae anataka kuja kucheki season ghafla nikasikia na sauti inafuata hodiii alhamdulilah kumbe jirani yangu hapo ndio nikajua mzee koboko uvumilivu umemshinda huyu jirani asingeufikia mlango lazima angechezea kwa mzee koboko...Aisee sikia kwa wenzio huyu jamaa koboko ana hatari sana tena umkute ana stress zake za mapenzi utaisoma namba
Duuuuu wapi huko mzee mzima?
 
24b4c6c0-ea83-11e4-81b3-112dd08c0cfa_CEN_MantaRay_01.jpg
Huyu Taa wa baharini ni mkubwa kuliko Volkswagen bettle.
 
Back
Top Bottom