Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Tatizo ni ushahidi wa kisayansi.
Mkuu kutafuka udhibitisho wa kisayansi, kujua dawa za asili zinafanya kazi, ni aina fulani, ya ubishi.
Watu wanagingwa na mijoka huko vijijini, wanatibiwa na dawa za asili, bila kupelekwa hosipitali na wanapona.
Labda ungesema tu hilo jiwe halitoi sumu, kwa jinsi ulivyo shuhudia, kwa watu waliopata kung'atwa na nyoka, na wakajaribu kutumia jiwe hilo, na halikuwasaidia, na siyo sayansi kudhibitisha.
 
Koboko anauwezo wa kukugonga na maumivu ukayasikia baadae.
 
Inaaminika kuwa picha hii ni moja ya Irwin autopsy
View attachment 776775
Nimeangalia video you tube ina maelezo ya partner wa karibu sana na Stive, ambae alishuhudia shambulio la Stingray Lililopelekea Stive kufa. Na kwa mujibu wa maelezo anasema Stive alichomwa "hundred of strikes in few a seconds"

Sasa nahitaji kujua hivi huo mwiba unakua mmoja ndani ya mkia wa samaki au mingi?

Kama chemba vile ukipiga risasi moja nyingine inakaa chemba? Kwa hiyo kazi yake inakua kufyatua tu miiba,,, Maana kuna picha nyingine naona mwiba umebaki kwa muhanga. Huyu samaki atakua na magazine yake iko full loaded na miba hatari sana.
 
Kibaya zaidi huyu samaki hatabiriki muda na saa ya kushambulia.......muda mwingi huwa kama rafiki

Ndio maana mashambulizi yake yanaleta damage kubwa kwa kuwa mhanga huwa anakuwa too close halafu ni ghafla sana na vigumu kuchukua tahadhari kwa kuwa huwa yuko so friendly.........

Just imagine uko umbali mfupi naye halafu anafanya shambulio....!!!

It's deadly
 
Anhaaa , tushakutana sana na hizo harufu enzi za kusenya kuni porini.
Loh, na mie nshakuwa muhenga kumbe hahahah
Ha ha haa!! We utakua mtu wa Tabora au la umeishi huko,,,, hilo neno "kusenya" linatumika ukanda huo.
 
Kibaya zaidi huyu samaki hatabiriki muda na saa ya kushambulia.......muda mwingi huwa kama rafiki

Ndio maana mashambulizi yake yanaleta damage kubwa kwa kuwa mhanga huwa anakuwa too close halafu ni ghafla sana na vigumu kuchukua tahadhari kwa kuwa huwa yuko so friendly.........

Just imagine uko umbali mfupi naye halafu anafanya shambulio....!!!

It's deadly
Ni hatari kweli kabisa, mfano iko video ingine you tube naona jamaa wanaogelea nae tena wako karibu yake sana.

Sasa kama ulivyosema hatabiriki muda wa ku-launch shambulio, je ikitokea wazimu wa kufyatua miba ukampanda hao walio karibu yake lazima cha moto wakione.
 
Unaweza usiyasikie mana kifo hakichez mbal labda uyasikie kaburun
Kama umevaa jeans utahisi kama tusindano tumekuchoma kwa mbali,halafu ile panic na adrenalin na jaasho litaanza kukutoka ladha ya chuma mdomoni,kuishiwa nguvu kizunguzungu kuanza kuongea bila kujielelewa kinachofuatia ni kuanguka na moyo kusimama.
 
UPUMBAVU WA WATU NI HUU
YAANI INAONEKANA KOBOKO NDIO BABA LAO DUNIANI KOTE SASA HAKUNA LA ZAIDI
MIMI BORA NIKUTANE NA KOBOKO KULIKO POLISI FULANI WA MITAA FULANI

UKITAKA KUAMINI KAULI YANGU UTAISHIA KUSIKIA MASIMULIZI TU LAKINI KUJA KUPATA WATU WALIOULIWA NA KOBOKO BASI YAWEZA KUWA NI WATU WAIWIL AU MMOJA NAO UNASIMULIWA TU HATA MAKABULI YAO HAYAPO.

AMBAO WANAELIMU ZA NYOKA NAIMANI KABISA HAKUNA NYOKA AMBAYE NI TISHIO
MFANO KWA FACT(Nyuki ni hatari sana kama usipomjua alivyo lakini tunaowajua nyuki unalina asali hata pasipo moto na mchana wa jua kali kabisa)

Uzembe mkubwa tulionao nikujazana hofu namna hii ndio maana tunakufa sana kwa vitu vidogo ambavyo kiuhalisia hakuna hata ambavyo ungeweza kupona
ila ushakalili koboko hatari hatari hatari Pumbaaaaaaafu.😀😀😀😀

huyo koboko bora nikutane naye kuliko mfalme **** maana kinachokupata ha ha ha ha aha ha mie simooooooo
Hivi umeelewa kinachozungumzwa hapa!?.
Tunazungumzia uhatari wa koboko kesho tutazungumzia uhatari wa polisi na mengineyo hivyo jikite kwenye mada usitoke nje ya mada utaonekana una uelewa mdogo
 
Tatizo ni ushahidi wa kisayansi.
Kwahiyo ni ushahidi wa kisayansi pekee ndo unakubaliana nao?. Vipi through practice and experience?.

Watu washatumia sana jiwe la nyoka na ukweli linatoa sumu ya nyoka mwilini,kama likiwekwa eneo ulilogongwa na nyoka linanata mpaka linyonye sumu iishe litadondoka na unakuwa fresh kabisa. Kwa sasa kazi kweny wanasayari kulitafiti na kutuletea majibu lkn kwa sasa sisi tunalitumia as far as linatutibu
 
HHili jiwe limetumika miaka ya zamani sana huko mashariki ya kati na Asia,katika nchi ya India siku hizi hawalitumii na wanaenda hospitali kupata antivenin.
 
HHili jiwe limetumika miaka ya zamani sana huko mashariki ya kati na Asia,katika nchi ya India siku hizi hawalitumii na wanaenda hospitali kupata antivenin.
Nenda pawaga na dodoma mpaka saiz wanaliamini sana hili jiwe. Na kijiji kizima wanajua wapi na kwa nani utalipata. Ikitokea umegongwa na nyoka direct wanakimbia kwa fulan kuchukua na kukuwekea
 
Back
Top Bottom