mbotoki
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 268
- 115
Dah! We jamaa!!Nasikia usiku anawika kama jogoo kwenye mapori manene
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! We jamaa!!Nasikia usiku anawika kama jogoo kwenye mapori manene
Koboko aliekomaa Anawikaa aisee... Kama Chatu aliekomaa anavyolia kama MbuziiDah! We jamaa!!
Mkuu kutafuka udhibitisho wa kisayansi, kujua dawa za asili zinafanya kazi, ni aina fulani, ya ubishi.Tatizo ni ushahidi wa kisayansi.
Poa mkubwa heshma yakoUsiwaze dogo
Mzee kitu km shoti ya umeme. Miwili unakufa ganzi jasho jingi na unatetemeka km una degedege.Koboko anauwezo wa kukugonga na maumivu ukayasikia baadae.
Presha inashuka halafu mwili unaishiwa nguvu kifo kinafuatia.Mzee kitu km shoti ya umeme. Miwili unakufa ganzi jasho jingi na unatetemeka km una degedege.
Yah unaishiwa nguvu kabisa ndo unakufa hivo. Na mapovu waweza toa asee kiumbe hicho ni tatizoPresha inashuka halafu mwili unaishiwa nguvu kifo kinafuatia.
Unaweza usiyasikie mana kifo hakichez mbal labda uyasikie kaburunKoboko anauwezo wa kukugonga na maumivu ukayasikia baadae.
Hapana kifutu ni tofauti yeye ni menene kama chatu hata rangi ila ni mfupi saanaHivi koboko ndio anaitwa kifutu kwa jina lingine?
Nimeangalia video you tube ina maelezo ya partner wa karibu sana na Stive, ambae alishuhudia shambulio la Stingray Lililopelekea Stive kufa. Na kwa mujibu wa maelezo anasema Stive alichomwa "hundred of strikes in few a seconds"Inaaminika kuwa picha hii ni moja ya Irwin autopsy
View attachment 776775
Kibaya zaidi huyu samaki hatabiriki muda na saa ya kushambulia.......muda mwingi huwa kama rafikiNimeangalia video you tube ina maelezo ya partner wa karibu sana na Stive, ambae alishuhudia shambulio la Stingray Lililopelekea Stive kufa. Na kwa mujibu wa maelezo anasema Stive alichomwa "hundred of strikes in few a seconds"
Sasa nahitaji kujua hivi huo mwiba unakua mmoja ndani ya mkia wa samaki au mingi?
Kama chemba vile ukipiga risasi moja nyingine inakaa chemba? Kwa hiyo kazi yake inakua kufyatua tu miiba,,, Maana kuna picha nyingine naona mwiba umebaki kwa muhanga. Huyu samaki atakua na magazine yake iko full loaded na miba hatari sana.
Ha ha haa!! We utakua mtu wa Tabora au la umeishi huko,,,, hilo neno "kusenya" linatumika ukanda huo.Anhaaa , tushakutana sana na hizo harufu enzi za kusenya kuni porini.
Loh, na mie nshakuwa muhenga kumbe hahahah
Mwenzio ananogesha story we unakomaa,, haya sawa endelea kukomaa hivyo hivyo sie tunacheka ha ha Ha!!We muongo sana, nilikuwa nakuamini mwanzo
Ni hatari kweli kabisa, mfano iko video ingine you tube naona jamaa wanaogelea nae tena wako karibu yake sana.Kibaya zaidi huyu samaki hatabiriki muda na saa ya kushambulia.......muda mwingi huwa kama rafiki
Ndio maana mashambulizi yake yanaleta damage kubwa kwa kuwa mhanga huwa anakuwa too close halafu ni ghafla sana na vigumu kuchukua tahadhari kwa kuwa huwa yuko so friendly.........
Just imagine uko umbali mfupi naye halafu anafanya shambulio....!!!
It's deadly
Kama umevaa jeans utahisi kama tusindano tumekuchoma kwa mbali,halafu ile panic na adrenalin na jaasho litaanza kukutoka ladha ya chuma mdomoni,kuishiwa nguvu kizunguzungu kuanza kuongea bila kujielelewa kinachofuatia ni kuanguka na moyo kusimama.Unaweza usiyasikie mana kifo hakichez mbal labda uyasikie kaburun
Hivi umeelewa kinachozungumzwa hapa!?.UPUMBAVU WA WATU NI HUU
YAANI INAONEKANA KOBOKO NDIO BABA LAO DUNIANI KOTE SASA HAKUNA LA ZAIDI
MIMI BORA NIKUTANE NA KOBOKO KULIKO POLISI FULANI WA MITAA FULANI
UKITAKA KUAMINI KAULI YANGU UTAISHIA KUSIKIA MASIMULIZI TU LAKINI KUJA KUPATA WATU WALIOULIWA NA KOBOKO BASI YAWEZA KUWA NI WATU WAIWIL AU MMOJA NAO UNASIMULIWA TU HATA MAKABULI YAO HAYAPO.
AMBAO WANAELIMU ZA NYOKA NAIMANI KABISA HAKUNA NYOKA AMBAYE NI TISHIO
MFANO KWA FACT(Nyuki ni hatari sana kama usipomjua alivyo lakini tunaowajua nyuki unalina asali hata pasipo moto na mchana wa jua kali kabisa)
Uzembe mkubwa tulionao nikujazana hofu namna hii ndio maana tunakufa sana kwa vitu vidogo ambavyo kiuhalisia hakuna hata ambavyo ungeweza kupona
ila ushakalili koboko hatari hatari hatari Pumbaaaaaaafu.😀😀😀😀
huyo koboko bora nikutane naye kuliko mfalme **** maana kinachokupata ha ha ha ha aha ha mie simooooooo
Kwahiyo ni ushahidi wa kisayansi pekee ndo unakubaliana nao?. Vipi through practice and experience?.Tatizo ni ushahidi wa kisayansi.
HHili jiwe limetumika miaka ya zamani sana huko mashariki ya kati na Asia,katika nchi ya India siku hizi hawalitumii na wanaenda hospitali kupata antivenin.Watu washatumia sana jiwe la nyoka na ukweli linatoa sumu ya nyoka mwilini,kama likiwekwa eneo ulilogongwa na nyoka linanata mpaka linyonye sumu iishe litadondoka na unakuwa fresh kabisa. Kwa sasa kazi kweny wanasayari kulitafiti na kutuletea majibu lkn kwa sasa sisi tunalitumia as far as linatutibu
Nenda pawaga na dodoma mpaka saiz wanaliamini sana hili jiwe. Na kijiji kizima wanajua wapi na kwa nani utalipata. Ikitokea umegongwa na nyoka direct wanakimbia kwa fulan kuchukua na kukuwekeaHHili jiwe limetumika miaka ya zamani sana huko mashariki ya kati na Asia,katika nchi ya India siku hizi hawalitumii na wanaenda hospitali kupata antivenin.