Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Nimeangalia video you tube ina maelezo ya partner wa karibu sana na Stive, ambae alishuhudia shambulio la Stingray Lililopelekea Stive kufa. Na kwa mujibu wa maelezo anasema Stive alichomwa "hundred of strikes in few a seconds"

Sasa nahitaji kujua hivi huo mwiba unakua mmoja ndani ya mkia wa samaki au mingi?

Kama chemba vile ukipiga risasi moja nyingine inakaa chemba? Kwa hiyo kazi yake inakua kufyatua tu miiba,,, Maana kuna picha nyingine naona mwiba umebaki kwa muhanga. Huyu samaki atakua na magazine yake iko full loaded na miba hatari sana.

Mwiba huo wa Samaki Taa ni mmoja na umechongoka ukivunjika inamchukua samaki muda mrefu ili mwingine ukue,sasa "hundred strikes"sijui alikuwa ana maanisha nini?!
 
Nenda pawaga na dodoma mpaka saiz wanaliamini sana hili jiwe. Na kijiji kizima wanajua wapi na kwa nani utalipata. Ikitokea umegongwa na nyoka direct wanakimbia kwa fulan kuchukua na kukuwekea
Sasa kama ilvyokuja kubainika kuwa nyoka huwa wana sumu tofauti kuna aina nyingi za sumu sasa swali linakuja je hilo jiwe linawezaje kutibu aina karibia mia mbili za sumu?!
 
Sasa kama ilvyokuja kubainika kuwa nyoka huwa wana sumu tofauti kuna aina nyingi za sumu sasa swali linakuja je hilo jiwe linawezaje kutibu aina karibia mia mbili za sumu?!
Mkuu sio nyoka tu!. Hata sumu ya mimeo as far as ilipoingilia panafahamika basi chukua jiwe weka sehem hiyo litainyonya sumu
 
Mkuu sio nyoka tu!. Hata sumu ya mimeo as far as ilipoingilia panafahamika basi chukua jiwe weka sehem hiyo litainyonya sumu
Basi hili jiwe lingekuwa na uwezo huo kusingelikuwa na haja ya kuumiza akili kwenda kutafuta antidotes,hata ingelikuwa hakuna haja ya kuwaogopa nyoka na sumu zao,madaktari wangeshurutisha kila raia atembee na hilo jiwe mfukoni.
 
Basi hili jiwe linvekuwa na uwezo huo kusingelikuwa na haja ya kuumiza akili kwenda kutafuta antidotes,hata ingelikuwa hakuna haja ya kuwaogopa nyoka na sumu zao,madaktari wangeshurutisha kila raia atembee na hilo jiwe mfukoni.
Upatikanaj wake. Umenikumbusha mtangazsji mmoja was RFA alisema zile dawa zinazotumika uwanjani kuwatibu wachezaji wa soka kila mtu awe nazo ili ukiteguka ujitibu fasta
 
Experts are concerned that relying on a black stone may prevent snakebite victims from seeking appropriate medical help. No scientific study has shown that black stones are effective, but, most guidelines for snakebite first aid stress the need for keeping the victim calm (because acute stress reaction increases blood flow and endangers the victim, and panic is infectious and can compromise judgment).
 
Snake-stones (aka black stones) do not work at all, at least not for removing any venom from the bite. The notion that a snakebite can be treated by somehow extracting the venom has successfully fooled us since at least the 1400's, when the black stone was first mentioned as the go-to remedy for treating snake envenomations. They do provide a really great optical illusion, however. Out of the 3000 different species of snakes, only 600 are venomous, and less than 200 pose a significant threat to human life or limb. Given that many harmless snakes look like dangerous snakes, and most people don’t know very much about snakes at all, it is safe to say that the black stone is used on far more non-venomous snakes than venomous ones. Further complicating matters is the fact that venomous snakes do not always inject venom when they bite a human, and it is estimated that 20% or more of venomous snakebites are defensive “dry bites” where no venom is injected. So if 5 guys are bit by venomous snakes, one of them is likely to be “cured” by the black stone because he wasn’t actually injected with any venom at all. Combine that with all of the people bitten by harmless snakes who were “cured” by the black stone and it is easy to see how this type of myth takes hold. It’s a fabulous sleight of hand that produces a great deal of very real suffering for those who fall victim to the myth
 
Hakuna ushahidi wa kisayansi unaoonyesha kuwa jiwe la nyoka lina nyonya sumu ya aina yoyoye.
 
Hakuna ushahidi wa kisayansi unaoonyesha kuwa jiwe la nyoka lina nyonya sumu ya aina yoyoye.
Narudia hiyo ushahidi ni nyie wanasayansi muutafute sisi linatutibu na tunaliamini na tutalitumia....
 
Wee jamaa wewe mbona umekomaa sana!. Maelezo niliyokupa huyaelewi au ndo unajitoa ufaham? Nakupuuza
Sasa jiwe kama linakubalika kuwa linatibu sumu ya nyoka kwanini serikali yetu ya jamhuri ya muungano ilipuuze wakati lingesaidia kupunguza gharama za kuagiza antivenom kutoka ughaibuni?!
 
Kuna sehemu nimesoma Koboko ndio aliwaua sana Wajerumani enzi za mashamba ya mikonge mpaka wakawa wanafikiri ni nyoka wa mizimu ya kiafrika.
itakua makanya same ...miaka kama kumi iliopita wakata mkonge wenye asili ya kirundi walipambana na nyoka wa tatu aina hio, baada ya kufanikiwa kuwauwa waliwapeleka kijijini wanakijiji wengi sana walifurika kuwaona mimi nliona ni kitu cha kawaida tu, hivyo skutaajabu sana zaidi nlisikia kua nyoka wale walikua wanapamabana huku wamesimama wana kimo zaidi ya binadamu. Leo ndio nimekuja kujua wale viumbe ni BLACK MAMBA na wale jamaa walikua ni mashujaa..
 
snake-bites-5.jpg

Hawa watoto ambao ni ndugu wamengatwa na Puff adder wamewekewa mawe meusi ilibidi wapelekwe hospitali baada ya kuonekana kuwa Tissue damage imeanza kula mikono yao.
 
itakua makanya same ...miaka kama kumi iliopita wakata mkonge wenye asili ya kirundi walipambana na nyoka wa tatu aina hio, baada
Mkuu mikongeni waacha! sijui kwa nini nyoka wa aina zote hupenda mandhari ya mikonge.
 
images.jpg

Kuna nyoka wengine wa ajabu sana,kama huyu ambaye hajui hata kula mlo wake vizuri,kawaida ya nyoka wenzake ni head first.
 
Nimegundua nyoka kama siyo adui ni rafiki mkubwa wa binadamu maana huu uzi hauzeeki. Utatadumu kama ule wa kupeana likes.
 
Back
Top Bottom