imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Nimeangalia video you tube ina maelezo ya partner wa karibu sana na Stive, ambae alishuhudia shambulio la Stingray Lililopelekea Stive kufa. Na kwa mujibu wa maelezo anasema Stive alichomwa "hundred of strikes in few a seconds"
Sasa nahitaji kujua hivi huo mwiba unakua mmoja ndani ya mkia wa samaki au mingi?
Kama chemba vile ukipiga risasi moja nyingine inakaa chemba? Kwa hiyo kazi yake inakua kufyatua tu miiba,,, Maana kuna picha nyingine naona mwiba umebaki kwa muhanga. Huyu samaki atakua na magazine yake iko full loaded na miba hatari sana.
Mwiba huo wa Samaki Taa ni mmoja na umechongoka ukivunjika inamchukua samaki muda mrefu ili mwingine ukue,sasa "hundred strikes"sijui alikuwa ana maanisha nini?!