Kajole
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 1,668
- 1,643
Heheheheeee samaki anafubdishwa kuogelea leo!View attachment 781938
Kuna nyoka wengine wa ajabu sana,kama huyu ambaye hajui hata kula mlo wake vizuri,kawaida ya nyoka wenzake ni head first.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heheheheeee samaki anafubdishwa kuogelea leo!View attachment 781938
Kuna nyoka wengine wa ajabu sana,kama huyu ambaye hajui hata kula mlo wake vizuri,kawaida ya nyoka wenzake ni head first.
Inawezekana akawa ni wakufugwa.Heheheheeee samaki anafubdishwa kuogelea leo!
Ngoja ni log out asije tia timu humuKoboko ukimtajataja sana anatia timu.hiyo ni fact lakini sijui ni kwa nini?! Hapa inabidi utafiti.
Hapa nakataa mbona dawa kibao mfano zawamasai zinatutibu nahospital hazipo! hiz hospital zetu bila maelezo yakizungu hawakubali yan wao wanataka dawa ipitishwe na WHOSasa jiwe kama linakubalika kuwa linatibu sumu ya nyoka kwanini serikali yetu ya jamhuri ya muungano ilipuuze wakati lingesaidia kupunguza gharama za kuagiza antivenom kutoka ughaibuni?!
Chura nimshenzi hua anawakomoa nyoka kila akitaka kumezwa anazid kuumuka lazma umteme hatakama umemtanguliza kichwaView attachment 781938
Kuna nyoka wengine wa ajabu sana,kama huyu ambaye hajui hata kula mlo wake vizuri,kawaida ya nyoka wenzake ni head first.
Huyo nyoka huwa hana sumu ndio maana chura anamletea mchezo ila kama angekuta na Cobra sumu ingemlainisha kwanza ndio amezwe.Chura nimshenzi hua anawakomoa nyoka kila akitaka kumezwa anazid kuumuka lazma umteme hatakama umemtanguliza kichwa
Inamana sumu anamdunga mdudu nayeye haimdhuru!Huyo nyoka huwa hana sumu ndio maana chura anamletea mchezo ila kama angekuta na Cobra sumu ingemlainisha kwanza ndio amezwe.
Tatizo Akili Ikilala Katika Jambo Moja Ndio Unakuwa na Uelewa Mdogo,Hivi umeelewa kinachozungumzwa hapa!?.
Tunazungumzia uhatari wa koboko kesho tutazungumzia uhatari wa polisi na mengineyo hivyo jikite kwenye mada usitoke nje ya mada utaonekana una uelewa mdogo
Acha upuuzi wewe na vijimisemo ulivyokaririshwa vilabuni. Mpuuzi kweli wewe jadiri koboko acha umbea mbea kama kahaba.Tatizo Akili Ikilala Katika Jambo Moja Ndio Unakuwa na Uelewa Mdogo,
Lakini Ikipanuka na ukawa na Mawazo Zaidi ya Moja Unakuwa Na Uelewa Mkubwa
So Wakati Mwingine tunashindwa kulielewa jambo si kwasababu halijaeleweka ama mtoa jambo husika hajalielewesha
ila inakuwa ni dozi nzito kumzidi mpokeaji ndio maana inakuwa haijaeleweka.
Ukiachana na Upumbavu hautakuwa mpumbavu waache chongo na chongo zao, usije ukajifanya mdadisi ukaambukizwa uchongo wakati haupo tayari
Acha upuuzi wewe na vijimisemo ulivyokaririshwa vilabuni. Mpuuzi kweli wewe jadiri koboko acha umbea mbea kama kahaba.
Sijasoma ulichoandika;narudia acha upuuzi jadir koboko.Naona sasa ushajithibitisha kuwa haukuelewa mimi nimeandika nini
Maana Mpuuzi ni yule anayezuia mtu asiongee jambo katika jukwaa la hoja kwa kusimamia kuwa ni upuuzi.
Naona sasa Ushajithibitisha kuwa kampani yako kubwa ni makahaba ndio maana unajua kuwa wao ni wambea, huko ndiko chongo yako iliko, bakia huko huko usilazimishe namimi niwe kama wewe.
Mwisho misemo haipo vilabuni tu na jifunze ni nini maana ya misemo maana naona hata haujajua hata unashindwa kutambua mimi nimeandika nini.
Sasa nataka nikutoe upuuzi wako na ujinga wako ambao unalazimisha kila mtu awe kama wewe
copy maoni yangu ambayo sijajadili koboko kisha nikueleweshe maana huenda umejipa tafasiri zako binafsi unaanza kuleta lawama zisizokuwa na msingi.
jambo la muhimu la kuzingatia katika maisha yako ni hili
''Si kila jambo utakavyolielewa ndivyo linasimama hivyohivyo, jifunze kwa kuangalia na wengine wamejifunza nini''
Elimu haiona mwisho na kila siku tunajifunza kwahiyo kauli zako zisiwe za kujiamini katika mawazo ya wengine wakati haukuwaza wewe.
Ndio maana unaleta complain ambazo sio sahihi
Haya leta hapa maoni ambayo hajaenda sawa na koboko nikueleweshe maana usije ukaenda kusimulia kwa marafiki zako ambao ni wambeambea(Tabia mojawapo ya mbea huwa haulizi anajisemea tu alivyolikuta, usiwe na tabia kama hiyo uwe unauliza kujifunza)
Sijasoma ulichoandika;narudia acha upuuzi jadir koboko.
Aisee nimezisoma kumbe unaweza kufungwa.Jambo la nyongeza ni kwamba JF wali-update Policy ni vyema ukazipitia tena na kuzisoma kabla haujaendeleza upumbavu wako hapa
Ndio hivyo bro means kila mtu atawajibika kwa kila anachokifanyaAisee nimezisoma kumbe unaweza kufungwa.