Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Pia ukimuona nyoka huyo ni mkosi..yani ukimuona na bahati nzuri asikuue basi ujue mabalaa na mikosi yatakuandama kama kufiwa na mke/mume watoto na ndugu wa karibu...

Huyu jamaa ni mshenzi sana
 
Kumuona nyoka huyu ni mkosi, Sio kwa jamii za makabila yote, bali kwa mila za kabila lenu. Kuna watu, nyoka huyu wamesha muona mara nyingi sana, hakuna kilichowatokea.
 
Ajabu kwa kweli
Yaani kuna habari zingine unazisikia mpaka unashangaa halafu unajiuliza kuwa mtu anaaminije kila kitu?

Mimi nimemuona akiwa juu ya mti na siku nyingine nilimuona akiwa anakatisha sehemu na mpaka sasa watoto wanaongezeka tu
 
mimi na nyoka haziivi kabisa... na kingine ni vile sipendi beef nao. so kama tunakutana napenda kila mtu ashike hamsini zake... nlishawahi kutana na nyoka arusha kipindi flani barabaran akanipa tu hi nami nikampa hi nikalala mbele.. siku nyingine tena napita hiyo njia naye alikuwa anakatiza kwenda kwenye mishe mishe zake... basi nikaona oooooh.... isiwe tabu nikahamia njia nyingine ya mbali sana.maana hii ilikuwa ni short cut lakini nilipoona two times nakutana na mchizi yule yule nikajua hapo karibu anaweza kuwa na maskani au hata jamaa zake wanaishi eneo hilo. nami najijua siwezi beef nao hawa wadudu hata akiwa ame dead mimi simwezi. nina nyokaphobia. ukinambia njia ya huku kuna simba na huku kuna nyoka chagua kwa kupita ntapita nikapambane na simba but si nyoka....
 
Arusha maeneo gn mzee?
 
Curious Black Mamba kwenye YouTube ni ajabu hapo unapomuona koboko anashangaa kumuona panya juu ya mti
Ameshindwa hata kumgonga achilia mbali kumtamani kumla.

Duniani kama siku zako hazijafika ni kushukuru Mungu na kukubali uwepo wake

Siwezi kuiweka hapa ila unaweza kwenda YouTube
Ila Pia Koboko aka Black mamba Anakimbizwa mpaka ana panda Kwenye mti,Anakimbizwa na Nguchiro,hawa ambao hats hapa Dar wapo,mi ninao
Google andika Fight Mangroves Vs Black mamba.
 
Back
Top Bottom