Kocha Azam: Magoli yote ya Simba ni clear offsides

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
KOCHA AZAM: MAGOLI YOTE YALIKUWA OFF-SIDE.
.
“Tunahitaji VAR magoli yote mawili ni offside za wazi , Simba ni timu kubwa hilo hatukatai niwapongeze wachezaji wangu lakini kwanini offside ni kwetu tu”

Maneno ya Rachid Taoussi kocha mkuu wa Azam FC baada ya kumalizika kwa mchezo.
 
Hili kwa kweli yule dada kazingua...clear kffside
 
Hii mechi ....Simba alikuwa anapoteza kabisa but
Sometimes utabiri waweza kua affected na some technicalities

Mfano
Offside
Key player injury during match
Uchawi
That's what happened to a simba- Azam match...... Whe're simba had to lose this match....but due that factors above ......they ended up winning [emoji14][emoji14]
 
Utopolo mnaumia sana kila Simba inaposhinda. Iliposhinda dhidi ya Tabora mlisema Yusuf Kagoma ni mchezaji wenu kwa hiyo Simba ipokonywe ushindi na Kagoma kawagomea kuwa yeye hajawahi kuwa mchezaji wenu. Hapo mkaishiwa maneno. Haya Simba kamfunga Azam mnaumia na kusema ni offside wakati juzi kati hapa mlibebwa kule Mbeya baada ya refa wenu(Man of the match) kuzulumu goli la KenGold kwa maslahi yake binafsi.
Nawaambieni msimu huu mtaumia sana mpaka hapo mtakapotoa huo mwiko huko nyuma.
 
Yana akili basi hayo mkuuu
 

Ken Gold walifunga goli siku hiyo? Mbona mimi nimeona mpira umepitiliza hadi mwisho wa nguzo ya pili? Hata kugonga nguzo ya pili tu imeshindikana
 
Admins walitakiwa wakupe ban ya mwezi mzima na ukirejea ulambwe bakora sita za makalio asubuhi na jioni kwa muda wa wiki mbili Labani og
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…