Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa anapoteza hivi au vile its all irrelevant. Utabiri ni probability, unaweza usipate na kupata. Sasa wewe kwa sababu ulijiwekea matokeo yako yakaja mengine unajaribu ku explain why utabiri umefeliHii mechi ....Simba alikuwa anapoteza kabisa but
Sometimes utabiri waweza kua affected na some technicalities
Mfano
Offside
Key player injury during match
Uchawi
That's what happened to a simba- Azam match...... Whe're simba had to lose this match....but due that factors above ......they ended up winning [emoji14][emoji14]
Waambie mkuuMstari halisi ni huu uliochorwa na AzamView attachment 3107988
Hapana mkuu... at least kuwe na fairness kwenye ushindiUtopolo mnaumia sana kila Simba inaposhinda. Iliposhinda dhidi ya Tabora mlisema Yusuf Kagoma ni mchezaji wenu kwa hiyo Simba ipokonywe ushindi na Kagoma kawagomea kuwa yeye hajawahi kuwa mchezaji wenu. Hapo mkaishiwa maneno. Haya Simba kamfunga Azam mnaumia na kusema ni offside wakati juzi kati hapa mlibebwa kule Mbeya baada ya refa wenu(Man of the match) kuzulumu goli la KenGold kwa maslahi yake binafsi.
Nawaambieni msimu huu mtaumia sana mpaka hapo mtakapotoa huo mwiko huko nyuma.
Huu mstari au mshazari? 😂😂😂KOCHA AZAM: MAGOLI YOTE YALIKUWA OFF-SIDE.
.
“Tunahitaji VAR magoli yote mawili ni offside za wazi , Simba ni timu kubwa hilo hatukatai niwapongeze wachezaji wangu lakini kwanini offside ni kwetu tu”
Maneno ya Rachid Taoussi kocha mkuu wa Azam FC baada ya kumalizika kwa mchezo.View attachment 3107860
Kwenye upande wa build up ya mashambukizi simba wajitathmini.Mstari halisi ni huu uliochorwa na AzamView attachment 3107988
Hujawahi kuona kona mpira unatoka nje kisha unaingia ndani?Ken Gold walifunga goli siku hiyo? Mbona mimi nimeona mpira umepitiliza hadi mwisho wa nguzo ya pili? Hata kugonga nguzo ya pili tu imeshindikana
Positivity kubwa zaidi. Timu ni nzuri na kocha ni mzuri.Kwenye upande wa build up ya mashambukizi simba wajitathmini.
Wamekuwa na shida ya offside nyingi ikitokea wamekutana na waamuzi makini watapata kazi sana.
Ukitaka kuamini angalia hata goli la pili fhini ya waarabu kuna mtu alikuwa offside akaenda kumghasi kipa wakati anaucheza ule mpira hadi ukaingia wavuni.
Timu yangu ijiangalie sana
Upande wa defence timu omeanza kuelewana vizuri, utathibitisha kwa kuangalia jinsi kipa ja beki zake wanavyopanda na kushuka, ila kule mbele wajiimarishe zaidi.Positivity kubwa zaidi. Timu ni nzuri na kocha ni mzuri.
Simba ina magoli 9 na haijafungwa goli. Wameshinda mechi zote tatu..Upande wa defence timu omeanza kuelewana vizuri, utathibitisha kwa kuangalia jinsi kipa ja beki zake wanavyopanda na kushuka, ila kule mbele wajiimarishe zaidi.
Hapo umezungumzia mpira unatoka nje kisha unaingia ndani sasa ule mpira kama ulikuwa upo ndani usingepitiliza goal line na nguzo pasipo hata kuugonga hata nguzo ya pili. Magoli ya mipira ya kona ukigonga nguzo ya pembeni kituo kinachofuata ni kugonga nyavu ya upande wa piliHujawahi kuona kona mpira unatoka nje kisha unaingia ndani?
Baada ya kuubabatiza nguzo na mkono wa Diara, ulivuka msitari [emoji3]
Dah! Basi nina mashaka hujawahi hata kucheza huo mpira.Hapo umezungumzia mpira unatoka nje kisha unaingia ndani sasa ule mpira kama ulikuwa upo ndani usingepitiliza goal line na nguzo pasipo hata kuugonga hata nguzo ya pili. Magoli ya mipira ya kona ukigonga nguzo ya pembeni kituo kinachofuata ni kugonga nyavu ya upande wa pili
Scenario unayozungumzia wewe ni mpira uliopigwa kwa angle ya juu, kama ulisoma physics utaelewa. Ila kwa ule mpira ulivyopigwa hauwezi kuwa uliingia ndani kisha utoke nje. Njio na picha ikionesha mpira ukiwa umevuka mstari kwa asilimia 100Dah! Basi nina mashaka hujawahi hata kucheza huo mpira.
Mpira unaweza kuvuka msitari na kurudi ndani kutegemea na jinsi ulivyopigwa au kubabatiza.
Mkuu mpira unaweza ku bend. Na kama kuna spinning ndo kabisa.
Sio mimi uliyetaka nikutambue wewe ni nani bali nilikujibu kama mchangiaji mwengine tu naada ya kushtushwa na comment yako mkuu.Hapana nlitaka ujue tu kuwa humu tupo tofauti
Angalia hayo magoli yanavyopatikana mengi ni ya ghafla bin vuuSimba ina magoli 9 na haijafungwa goli. Wameshinda mechi zote tatu..
Wastani wa goli tatu kila mechi.
Tulia mkuu.
AhaaaKwenye upande wa build up ya mashambukizi simba wajitathmini.
Wamekuwa na shida ya offside nyingi ikitokea wamekutana na waamuzi makini watapata kazi sana.
Ukitaka kuamini angalia hata goli la pili fhini ya waarabu kuna mtu alikuwa offside akaenda kumghasi kipa wakati anaucheza ule mpira hadi ukaingia wavuni.
Timu yangu ijiangalie sana