jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Kama umeshindwa kuelewa potezea tu.Scenario unayozungumzia wewe ni mpira uliopigwa kwa angle ya juu, kama ulisoma physics utaelewa. Ila kwa ule mpira ulivyopigwa hauwezi kuwa uliingia ndani kisha utoke nje. Njio na picha ikionesha mpira ukiwa umevuka mstari kwa asilimia 100