Kocha Azam: Magoli yote ya Simba ni clear offsides

Kocha Azam: Magoli yote ya Simba ni clear offsides

Scenario unayozungumzia wewe ni mpira uliopigwa kwa angle ya juu, kama ulisoma physics utaelewa. Ila kwa ule mpira ulivyopigwa hauwezi kuwa uliingia ndani kisha utoke nje. Njio na picha ikionesha mpira ukiwa umevuka mstari kwa asilimia 100
Kama umeshindwa kuelewa potezea tu.
 
KOCHA AZAM: MAGOLI YOTE YALIKUWA OFF-SIDE.
.
“Tunahitaji VAR magoli yote mawili ni offside za wazi , Simba ni timu kubwa hilo hatukatai niwapongeze wachezaji wangu lakini kwanini offside ni kwetu tu”

Maneno ya Rachid Taoussi kocha mkuu wa Azam FC baada ya kumalizika kwa mchezo.View attachment 3107860
Goli la kwanza huwezi mlaumu mshika kibendera, ilikuwa ngumu kuiona. Ila lile la pili sijui alikuwa anafikiria nini?

Ila pamoja na yote Azam alicheza mpira wa hovyo yaani ukiachana na ule mpira wa Fei uliogonga nguzo, hawana short on target hata moja.
 
Japo makolo watakupinga
 
Hii mechi ....Simba alikuwa anapoteza kabisa but
Sometimes utabiri waweza kua affected na some technicalities

Mfano
Offside
Key player injury during match
Uchawi
That's what happened to a simba- Azam match...... Whe're simba had to lose this match....but due that factors above ......they ended up winning [emoji14][emoji14]
Umeumia wapi ?
 
Back
Top Bottom