mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Picha ya mnato haiwezi kuonesha offside!Mstari halisi ni huu uliochorwa na AzamView attachment 3107988
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha ya mnato haiwezi kuonesha offside!Mstari halisi ni huu uliochorwa na AzamView attachment 3107988
Atulie, ajifunze soka la bongo asitake kuvunja taratibu na maagano.KOCHA AZAM: MAGOLI YOTE YALIKUWA OFF-SIDE.
.
“Tunahitaji VAR magoli yote mawili ni offside za wazi , Simba ni timu kubwa hilo hatukatai niwapongeze wachezaji wangu lakini kwanini offside ni kwetu tu”
Maneno ya Rachid Taoussi kocha mkuu wa Azam FC baada ya kumalizika kwa mchezo.View attachment 3107860
KOCHA AZAM: MAGOLI YOTE YALIKUWA OFF-SIDE.
.
“Tunahitaji VAR magoli yote mawili ni offside za wazi , Simba ni timu kubwa hilo hatukatai niwapongeze wachezaji wangu lakini kwanini offside ni kwetu tu”
Maneno ya Rachid Taoussi kocha mkuu wa Azam FC baada ya kumalizika kwa mchezo.View attachment 3107860
Unajifanya haujui! Hao ni Yanga dhidi ya kengold! bado goli lilikubalika!Mechi ganii
Kwa hiyo ile on trget moja ya Azam ya dk ya 80 ndiyo ingemfanya Simba apoteze.Hii mechi ....Simba alikuwa anapoteza kabisa but
Sometimes utabiri waweza kua affected na some technicalities
Mfano
Offside
Key player injury during match
Uchawi
That's what happened to a simba- Azam match...... Whe're simba had to lose this match....but due that factors above ......they ended up winning [emoji14][emoji14]