Kocha Azam: Magoli yote ya Simba ni clear offsides

Kocha Azam: Magoli yote ya Simba ni clear offsides

KOCHA AZAM: MAGOLI YOTE YALIKUWA OFF-SIDE.
.
“Tunahitaji VAR magoli yote mawili ni offside za wazi , Simba ni timu kubwa hilo hatukatai niwapongeze wachezaji wangu lakini kwanini offside ni kwetu tu”

Maneno ya Rachid Taoussi kocha mkuu wa Azam FC baada ya kumalizika kwa mchezo.View attachment 3107860
Atulie, ajifunze soka la bongo asitake kuvunja taratibu na maagano.
 
KOCHA AZAM: MAGOLI YOTE YALIKUWA OFF-SIDE.
.
“Tunahitaji VAR magoli yote mawili ni offside za wazi , Simba ni timu kubwa hilo hatukatai niwapongeze wachezaji wangu lakini kwanini offside ni kwetu tu”

Maneno ya Rachid Taoussi kocha mkuu wa Azam FC baada ya kumalizika kwa mchezo.View attachment 3107860
1727252404115.png

Hapo?
 
Hii mechi ....Simba alikuwa anapoteza kabisa but
Sometimes utabiri waweza kua affected na some technicalities

Mfano
Offside
Key player injury during match
Uchawi
That's what happened to a simba- Azam match...... Whe're simba had to lose this match....but due that factors above ......they ended up winning [emoji14][emoji14]
Kwa hiyo ile on trget moja ya Azam ya dk ya 80 ndiyo ingemfanya Simba apoteze.
 
Back
Top Bottom