Kocha hatuna wanetu, kocha hatuna hakika hatuna kocha viongozi wetu hawajielewi

Kocha hatuna wanetu, kocha hatuna hakika hatuna kocha viongozi wetu hawajielewi

Amani iwe nanyi ndugu

Timu yetu haina hakika kocha hatuna ni hayo tu

Wanetu hatuna kocha
Mlimsifu sana injinia Naye kalewa sifa na kuota mapembe acha aharibu maana tukishauri kitu huwa msema waondoke wote abaki injinia,tukisema manara anamchango arudishwe kundini mnasema anacheza namba ngapi?Sasa amueni mnachoona vema.
 
Mlimsifu sana injinia Naye kalewa sifa na kuota mapembe acha aharibu maana tukishauri kitu huwa msema waondoke wote abaki injinia,tukisema manara anamchango arudishwe kundini mnasema anacheza namba ngapi?Sasa amueni mnachoona vema.
Hapo bado kidoogooo Mtukane basi!
 
BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ALITUTAJIA MAADUI.

1. UMASIKINI
2.UJINGA.
3. MARADHI.

Akasema Hawa ni maadui wa kweli kweli katika hili Taifa.

LEO 2024 BAADA YA MIAKA 60 TUMEKUWA NA MAADUI WENGI ZAIDI.

2024 maadui wameongeseka Zaidi kuliko wale watatu wa 1961.

1.Umasikini na ufukara.
2.Ujinga na upumbavu.
3.Magonjwa na Maradhi.

4.Mmomonyoko wa Maadili.
ushoga, usagaji Kamali, sugar mamy, sugar Dady mashangazi
AJIRA.
5. Rushwa na Upendelo

6. USimba na u yanga.
7. Mitandao ya kijamii Tiktok, x, nk
8. Manabii wa uongo na Mashehe Uchwara.
9. Ajali nyingi mno.
10. Gharama kubwa za maisha, ujenzi holela nk

MAMBO NI MENGI SANA VIJANA WA KITANZANIA WANAWAZA MAMBO YA HOVYO SANA SIMBA NA YANGA ZINATAWALA MIKEKA NK.


OKOENI TAIFA LENU LEO.

IPO SIKU HILI TAIFA LITAZIDIWA NA SOMALIA KIUCHUMI.

MKIFIKA MBINGUNI MTAHOJIWA NA MUNGU MLILIFANYIA NINI TAIFA LENU NIMEMALIZA.
 
Mlichanganywa na suti ya kocha,ata mimi ninayo ngoja nipite mitaa ya jangwani nijaribu bahati yangu
 
Mambo Yao Waachie Wenyewe Utapasua Kifua Bure Kwa Yasiyo Ya Maana,,Na Wala Hayaleti Pilipili Mezani Mwako
 
Mbona kocha wenu anatakwimu sawa na Gamondi mnaekubali. Wote msimu huu mpaka sasa kila mmoja amepoteza mechi 2 na magoli ya kufungwa ma 4. Ni kocha mzuri apewe muda.
 
Siyo kocha tu hata wachezaji hamna,achaneni na vile vibabu.
 
Lakini unakumbuka kuwa Yanga inafungwaje?
 

Attachments

  • Screenshot_20241116-181034_1.jpg
    Screenshot_20241116-181034_1.jpg
    193.7 KB · Views: 3
  • Screenshot_20241203-221155_1.jpg
    Screenshot_20241203-221155_1.jpg
    270.1 KB · Views: 4
Back
Top Bottom