MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
Ili apate kitu kizuri,weka bench Aziza,Dube,mpumzishe Bacca,kati kati acheze Mkude,Aucho,Mudathir/Yule Mkenya;Amani iwe nanyi ndugu
Timu yetu haina hakika kocha hatuna ni hayo tu
Wanetu hatuna kocha
Weka Faridi,Chama,Maxi,musonda.
yanga kinachowaumiza ni rotation makocha ndio wanaowaumiza wachezaji,wanawatu wengi lkn hawana match fitness first 11 ikichoka timu inayumba.
Kocha wa simba alikiona hiki mapema akaanza mpumzisha mtu km Fernandez,Ateba,Mutale.