Ili apate kitu kizuri,weka bench Aziza,Dube,mpumzishe Bacca,kati kati acheze Mkude,Aucho,Mudathir/Yule Mkenya;
Weka Faridi,Chama,Maxi,musonda.
yanga kinachowaumiza ni rotation makocha ndio wanaowaumiza wachezaji,wanawatu wengi lkn hawana match fitness first 11 ikichoka timu inayumba.
Kocha wa simba alikiona hiki mapema akaanza mpumzisha mtu km Fernandez,Ateba,Mutale.