Kocha Ibenge: Kutoka sare na Yanga ni majuto makubwa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
"Tulikuwa na nafasi nyingi za kufunga, kutoka sare ni majuto makubwa kwangu," Kocha Ibenge.

Nilichochukua: Yanga imetutia aibu, "Iwe jua iwe mvua" halafu mnaokolewa na kipa?

"Katika uwanja wao wa nyumbani Al-Hilali anamuuliza Fiston Mayele mbona hujatetema leo?"
 
Huyu dogo anaonekana atakuja kuwa shabiki lia lia

1665244135232.png
 
ingekua ni iyo mechi moja tu Ibenge angefunguka mazima ila kwasababu kuna mechi ya kujiuliza ndo maana kipindi chote cha kwanza alicheza kwa tahadhri kubwa.
 
Hata mimi kwa level ya ukocha niliyonayo ningeskitika kama Ibenge tena zaidi maana mechi ilikuwa ya Hilal kwa nafasi za wazi zilizotengenezwa.

Niliwaambia Yanga , muunganiko si ishu sana ukiwa kocha mzuri wa kucheza knock out games hata ukutane na timu yenye muunganiko kama jiwe unayo nafasi ya kutoboa tu ni kuzichanga vizuri tu.
Ibenge ni mzoefu wa hizi game , Hanga ndo ashatoka

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hawa utopolo a.k.a mavi fc ndio waliokuwa wanampokea Ibenge alipokuwa akija kucheza na mnyama.Sasa kwa mbinu hizo.walizompatia ndio kawapapasa kidogo.
Wakuenda Sudan watakuwa wameshalainika ni kuingiza tu.Naamisha kuwapiga bao tu
 
Hata mimi kwa level ya ukocha niliyonayo ningeskitika kama Ibenge tena zaidi maana mechi ilikuwa ya Hilal kwa nafasi za wazi zilizotengenezwa.

Niliwaambia Yanga , muunganiko si ishu sana ukiwa kocha mzuri wa kucheza knock out games hata ukutane na timu yenye muunganiko kama jiwe unayo nafasi ya kutoboa tu ni kuzichanga vizuri tu.
Ibenge ni mzoefu wa hizi game , Hanga ndo ashatoka

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hebu rekebisha basi hapo kwenye Hanga ili ueleweke. Maana mnajifanya wachambuzi, kumbe hakuna kitu.

Timu yenu inacheza leo! Mhamie huko sasa kuchambua kuhusu viungo wenu punda, viungo konokono, viungo nungunungu, nk. Ni wakati wenu sasa kutuacha tupumzike, maana mmebwabwaja mno, kabla na hata baada ya mechi.
 
Hamstahili kupumzika nyinyi uto underdog
 
Mkuu, weka akiba ya maneno!
 
Hamstahili kupumzika nyinyi uto underdog
Yanga hii ingekuwa ni underdog, ingewafunga kwa misimu miwili mfululizo? Na tarehe 23 ya mwezi huu, tunawafunga tena!

Ukija kwa hao Al Hilal wenu, si ndiyo waliowafunga goli 1 kwa 0 mlipoenda kucheza kwenye yale mashindano yenu! Na baada ya mechi kama kawaida uenu, mkaanza kumsimanga kocha wenu Matola?

Sasa kwa akili yako, timu ambayo iliwafunga! Jana ililazimika kutokea nyuma, na kusawazisha! Halafu unawaita Yanga underog!! Nadhani na wewe uko kwenye lile kundi la Ismail Aden Rage bila shaka.
 
Hebu rekebisha basi hapo kwenye Hanga ili ueleweke. Maana mnajifanya wachambuzi, kumbe hakuna kitu.

Timu yenu inacheza leo! Mhamie huko sasa kuchambua kuhusu viungo wenu punda, viungo konokono, viungo nungunungu, nk. Ni wakati wenu sasa kutuacha tupumzike, maana mmebwabwaja mno, kabla na hata baada ya mechi.
Hahaaa mlitumia mwezi mzima kuichambua hii gemu yenu ya jana na kutuaminisha mtawapiga kama ngoma. Sasa subiri tena mwezi mzima tumalizie uchambuzi mana tunajiuliza jana ilipigwa kengele ama?. Usitupangie
 
Hebu rekebisha basi hapo kwenye Hanga ili ueleweke. Maana mnajifanya wachambuzi, kumbe hakuna kitu.

Timu yenu inacheza leo! Mhamie huko sasa kuchambua kuhusu viungo wenu punda, viungo konokono, viungo nungunungu, nk. Ni wakati wenu sasa kutuacha tupumzike, maana mmebwabwaja mno, kabla na hata baada ya mechi.
Dah!! Hili nalo neno . Wakati mwingine unaongeaga point za Maana.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom