Ndio ni underdog na utaelewa vizuri mkienda Sudan na Kibwana na Job wenu.Yanga hii ingekuwa ni underdog, ingewafunga kwa misimu miwili mfululizo? Na tarehe 23 ya mwezi huu, tunawafunga tena!
Ukija kwa hao Al Hilal wenu, si ndiyo waliowafunga goli 1 kwa 0 mlipoenda kucheza kwenye yale mashindano yenu! Na baada ya mechi kama kawaida uenu, mkaanza kumsimanga kocha wenu Matola?
Sasa kwa akili yako, timu ambayo iliwafunga! Jana ililazimika kutokea nyuma, na kusawazisha! Halafu unawaita Yanga underog!! Nadhani na wewe uko kwenye lile kundi la Ismail Aden Rage bila shaka.