OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hahah Hakuna Aijuae kesho [emoji41]Hawa utopolo a.k.a mavi fc ndio waliokuwa wanampokea Ibenge alipokuwa akija kucheza na mnyama.Sasa kwa mbinu hizo.walizompatia ndio kawapapasa kidogo. Wakuenda Sudan watakuwa wameshalainika ni kuingiza tu.Naamisha kuwapiga bao tu
Kesho ni Jumapili, October 09.Hahah Hakuna Aijuae kesho [emoji41]
Makundi ya nyumbu..... nimekuelewa.Yanga hawezi kufungwa na Al hilal, Yanga anaingia Makundi kibabe.
Makundi ya panyaroad labdaYanga hawezi kufungwa na Al hilal, Yanga anaingia Makundi kibabe.
Hebu rekebisha basi hapo kwenye Hanga ili ueleweke. Maana mnajifanya wachambuzi, kumbe hakuna kitu.Hata mimi kwa level ya ukocha niliyonayo ningeskitika kama Ibenge tena zaidi maana mechi ilikuwa ya Hilal kwa nafasi za wazi zilizotengenezwa.
Niliwaambia Yanga , muunganiko si ishu sana ukiwa kocha mzuri wa kucheza knock out games hata ukutane na timu yenye muunganiko kama jiwe unayo nafasi ya kutoboa tu ni kuzichanga vizuri tu.
Ibenge ni mzoefu wa hizi game , Hanga ndo ashatoka
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Tunaenda Ainisha mtu ukweli😂Makundi ya panyaroad labda
Hamstahili kupumzika nyinyi uto underdogHebu rekebisha basi hapo kwenye Hanga ili ueleweke. Maana mnajifanya wachambuzi, kumbe hakuna kitu.
Timu yenu inacheza leo! Mhamie huko sasa kuchambua kuhusu viungo wenu punda, viungo konokono, viungo nungunungu, nk. Ni wakati wenu sasa kutuacha tupumzike, maana mmebwabwaja mno, kabla na hata baada ya mechi.
Hata mimi kwa level ya ukocha niliyonayo ningeskitika kama Ibenge tena zaidi maana mechi ilikuwa ya Hilal kwa nafasi za wazi zilizotengenezwa.
Niliwaambia Yanga , muunganiko si ishu sana ukiwa kocha mzuri wa kucheza knock out games hata ukutane na timu yenye muunganiko kama jiwe unayo nafasi ya kutoboa tu ni kuzichanga vizuri tu.
Ibenge ni mzoefu wa hizi game , Hanga ndo ashatoka
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Yanga hii ingekuwa ni underdog, ingewafunga kwa misimu miwili mfululizo? Na tarehe 23 ya mwezi huu, tunawafunga tena!Hamstahili kupumzika nyinyi uto underdog
Makundi ya whatsuppYanga hawezi kufungwa na Al hilal, Yanga anaingia Makundi kibabe.
Hahaaa mlitumia mwezi mzima kuichambua hii gemu yenu ya jana na kutuaminisha mtawapiga kama ngoma. Sasa subiri tena mwezi mzima tumalizie uchambuzi mana tunajiuliza jana ilipigwa kengele ama?. UsitupangieHebu rekebisha basi hapo kwenye Hanga ili ueleweke. Maana mnajifanya wachambuzi, kumbe hakuna kitu.
Timu yenu inacheza leo! Mhamie huko sasa kuchambua kuhusu viungo wenu punda, viungo konokono, viungo nungunungu, nk. Ni wakati wenu sasa kutuacha tupumzike, maana mmebwabwaja mno, kabla na hata baada ya mechi.
Dah!! Hili nalo neno . Wakati mwingine unaongeaga point za Maana.Hebu rekebisha basi hapo kwenye Hanga ili ueleweke. Maana mnajifanya wachambuzi, kumbe hakuna kitu.