Kocha Ibenge: Kutoka sare na Yanga ni majuto makubwa

Ndio ni underdog na utaelewa vizuri mkienda Sudan na Kibwana na Job wenu.
 
Huyu Ibenge anazarau nyingi sana, kocha professional huwezi kusema maneno haya anatakiwa aheshimu timu yoyote! All in all kiboko yake anaijua!!
 
Underdog wote wameanzia mechi zao nyumbani.
Yanga kwa Africa ni underdog wa kudumu.
 
Underdog wote wameanzia mechi zao nyumbani.
Yanga kwa Africa ni underdog wa kudumu.
Sasa mbona huyo underdog anawanyuka tu kila timu yako inapokutana naye, kiasi cha kushangilia matokeo ya sare?
Au ni kwa sababu ya bahasha za GSM na kuroga siyo!!

Yaani inafikia wakati Mayele na Fei Toto wanapopiga mashuti golini kwenu, basi Manula na mwenzake Kakolanya wanahisi wameona moto unakuna golini!!!
 
Wote tunajua kwamba huo ushindi wa 1-0 ilikuw ni dhidi ya Simba ya akina kipa Ally Saleh, Jimmyson, nk. Mara ya mwisho Simba kamili iliifunga Al Hilal 4-1 kwa Mkapa mechi ya makundi ligi ya mabingwa
 
Wote tunajua kwamba huo ushindi wa 1-0 ilikuw ni dhidi ya Simba ya akina kipa Ally Saleh, Jimmyson, nk. Mara ya mwisho Simba kamili iliifunga Al Hilal 4-1 kwa Mkapa mechi ya makundi ligi ya mabingwa
Hizi sababu ni nyepesi na dhaifu mpaka basi! Mbona wakati mlipoenda Misri kwenye pre season na kuifunga ile timu ya Waarabu ya kikosi cha akiba, mlijisifia kuifunga timu kama timu!!
 
Huyu Ibenge anazarau nyingi sana, kocha professional huwezi kusema maneno haya anatakiwa aheshimu timu yoyote! All in all kiboko yake anaijua!!
Utakiheshimu kitu kabla haujakijua uwezo wake, baada ya kugundua kuwa ni cha kijinga ni lazima ukidharau tu, Ibenge yupo sawa.

Kwanini hizo kauli hakuzitoa mbele ya Simba Sc?
 
Pole sana,hakika mmepigwa na kitu kizito kichwan
 
Nimekuambia Yanga kwa African soka ni Underdog.
Ni ya 75 Namungo ya56, Al- Hilal ya 22 Agosto ya 28 Simba ya 14.

Hivi hujaelewa bado ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…