Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaitwa Game Management.Juma Mgunda ni kocha aliyekamilika kimbinu na kiujuzi........mengine ni ya kibinadamu tu......
Timu imeshapata matokeo Angola......hakuna haja ya kupress hali ya kuwa tuna game zingine ngumu mbele ambazo ni za muhimu.......timu imecheza kikubwa sana.......timu imekamilika kasoro zipo ndogo ndogo.......ukicheza Kwa kuwafurahisha mashabiki utapata majeruhi na mechi zijazo zitakuwa ngumu........
Timu inafika golini badala ya kutafuta namna ya kufunga zinapigwa pasi nyuma hadi Kwa manuka halafu anabutua mpira unatoka inakera sanaShida kubwa ipo sehemu ya katikati. Wachezaji wakifika mbele kidogo ya dimba wanashindwa kujua nini cha kufanya, mipira mingi inarudishwa nyuma.
Hawajiamini wakifika eneo lile, wanaogopa kupoteza mpira ndiyo maana wanaamua kurudi nyuma. Leo nimeona mara kadhaa mpira uko kwenye kona karibu na kibendera upande wa Waangola, badala ya kuendelea na pressure, mpira ulirudishwa nyuma hadi kwa Manula.
Katika lugha hususan kiswahili, aghalabu kuna tofauti kati ya kuonya, kutahadharisha na kutoa angalizo. Kwenye kichwa cha habari umeandika unamuonya Mgunda, lakini maelezo yako yamejikita kwenye kutoa tahadhali au angalizo.Habari wakuu
Kwanza nianze kukupa hongera kocha mkuu wa Simba Juma Mgunda kwa kufuzu kwako makundi kwenye michuano ya CAF CHAMPIONS LEAGUE, hakika umepambana kwa kuitoa SIMBA pale ilipokuwa mpaka hapo ulipofikia
Ila ningependa kukuonya na kukuonya tena, onyo hili ambalo hautalisikia kwa mtu mwingine yeyote bali ni mimi tu. Bado timu inahitaji strategies na quality kwa kiasi cha kutosha. Uchezaji unaocheza SIMBA bado hauridhishi kiukweli kabisa. Kwa uchezaji huu, inawezekana tukaenda kudhalilika hatua ya makundi ligi ya mabingwa na hata ligi kuu hapo baadae.
Wachezaji hawana kasi, umakini, na wazito tofauti na ilivyo kawaida. Pia pasi hazifiki kwa walengwa, timu hailewani na timu inaonekana kuridhika sana tofauti na ilivyo kawaida.
Nakumbushia Simba ya Aussems na pia ntakumbushia Simba ya Gomes. Simba ambazo zilikuwa na kasi na mashambulizi ya kutosha na pia njaa ya magoli muda wote, kwani kama De Agosto angekutana na simba zile si ajabu angekula 9-0
Inawezekana kufuzu makundi na kuondolewa kwa yanga kukanyima nafasi ya hili kuongelewa, ila me ntaliongelea ili isije kukucost.
Nakukumbusha pia mashabiki wa SIMBA hatuchelewi kubadilika pindi utakapo tuzoea sana, na kutuharibia kikosi chetu pendwa.
Zaidi ya hapo nakupa hongera, MTANZANIA mwenzangu
Tena ni Majungu Jazz Band kabisa.Majunguuu
🤔🤔🤔Habari wakuu

Yanga inacheza soka safi lakini imetolewa, Simba tia maji tia maji lakini imeingia makundi kipi bora?Habari wakuu

Mbona jina zuri tuu mimi wala halinipi shida kama kuitwa utopolo yani kama mtu kichwani hewa.Nani kolo mzeeh!!??
Utopolo maana yake zero brainMbona jina zuri tuu mimi wala halinipi shida kama kuitwa utopolo yani kama mtu kichwani hewa.
Point haina mashikoUbovu wa Simba SC umesababishwa na aina ya mpinzani aliyecheza nae, wale jamaa walishajua Simba ni timu kubwa wakajikatia tamaa mapema kisaikolojia.
Yote hayo, na pia hata mpira wa simba hauna radha kama awaliTimu inafika golini badala ya kutafuta namna ya kufunga zinapigwa pasi nyuma hadi Kwa manuka halafu anabutua mpira unatoka inakera sana
Majunguu!!?? Unamwambia nani sas, mimi auMajunguuu
Yeah it's a warning, ni OnyoKatika lugha hususan kiswahili, aghalabu kuna tofauti kati ya kuonya, kutahadharisha na kutoa angalizo. Kwenye kichwa cha habari umeandika unamuonya Mgunda, lakini maelezo yako yamejikita kwenye kutoa tahadhali au angalizo.
Kwani kuna sehemu imeongelewa yanga!!?? Mbn akili yako ina akisi huna hela ya chaiHaya nyie Utopolo si mna Kisinda aka kiberenge, mbona jana kaharisha?
Ni kweli kabisa mkuu OKW BOBAN SUNZUWamefanya kazi kubwa tuwape hongera. Ila Simba inabidi izibe baadhi gap hasa kati na striker. Nadhani kuelekea group stage huwa nafasi za kuongeza nguvu.
Tanzania kila mtu anajifanya mchambuziHabari wakuu