Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ww kama nani?
Anataka team ifunguke kama kipindi cha uchebe ili ipigwe hamsa hamsa apate la kusemaIla wewe jamaa bana
Hivi uliangalia yale magoli matatu tuliyowafunga Agosto kule kwao? Uliona ile speed ys Okrah kwenye goli la kwanza?
Uliona ile speed ya Mzamiru, Chama, Kanoute na Mwenda kwenye goli la pili?
Uliona speed ya Chama na Phiri kwenye goli la tatu?
Sijui unataka watu wakimbieje. Mpira unachezwa kwa malengo. Hukimbii hovyo kama Moloko au Twisila.
Unajua madhara ya kunyang'anywa mpira mkiwa mnashambulia na wachezaji wote wapo mbele nenda kaangalie lile goal alilofungwa Manchester city jana angalia wachezaji wa Manchester city walibaki wangapi nyumaTimu inafika golini badala ya kutafuta namna ya kufunga zinapigwa pasi nyuma hadi Kwa manuka halafu anabutua mpira unatoka inakera sana