Kocha Juma Mgunda nakuonya, uchezaji wa Simba bado hauridhishi

Simba ya Gomez sawa ila ausem yule kichaa kocha unaenda ugenini unafungua turbo ndo maana alikuwa anakula hamsa hamsa kiufupi team imebadilika sana tofauti na zamani team ina balance inakaba kwa wakati mpaka chama anakaba unaona tofauti team inacheza direct football sio biriani hvyo ndo Caf champions league inachezwa sio show game we unataka team mda wote ifunguke hzo akili alikuwa nazo uchebe ndo maana alikuwa wapinzani wanamchakaza kwenye Caf champions league hayo mambo ya show game ndo yanamfelisha hata Guardiola kwenye UEFA champions league angalia jana kapigiwa pasi moja tu mpaka goal in UEFA champions league or Caf champions league you have to play direct football and respect the opponents if you want good results hongera pep Guardiola mnene kutoka tanga.
 
Anataka team ifunguke kama kipindi cha uchebe ili ipigwe hamsa hamsa apate la kusema
 
Timu inafika golini badala ya kutafuta namna ya kufunga zinapigwa pasi nyuma hadi Kwa manuka halafu anabutua mpira unatoka inakera sana
Unajua madhara ya kunyang'anywa mpira mkiwa mnashambulia na wachezaji wote wapo mbele nenda kaangalie lile goal alilofungwa Manchester city jana angalia wachezaji wa Manchester city walibaki wangapi nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…