Huo ndio ukweli, labda tusubiri miujizaWale jamaa tangu mwanzo walikuwa wanacheza ili kutafuta draw tu sababu walijua simba wanakuwa hatari nyumbani tu.
Yaani walikuwa wanaosha hatari kuanzia nyuma bila kubutua kabisa kitu ambacho ni nadra Sana
viungo wao wale wawili wana footwork nzuri Sana Sana.
fikiria dakika zile chache walioanza kushambulia unaona jinsi walivyoboss eneo kubwa na takwimu zinaonesha wao ndio wamepiga pasi nyingi eneo la mbele la simba..
Acha tuone mkuu mimi naona simba hana nafasi.
Robo fainali nan utamchapa goli zote hizoooo kilamtu kajipanga sana angalia hata matokeo ya wenzetuFaida ya goli 1 ni rahisi sana kuchapwa. Angalau tungekuwa na goli 3 ingekuwa afadhali ili kule tukapark basi.
Inawezekana, si uliona Madrid na Chelsea walivyotwangana, aggregate zikaamuaRobo fainali nan utamchapa goli zote hizoooo kilamtu kajipanga sana angalia hata matokeo ya wenzetu
alisikika uto mmoja alielewa kimpumuSimba tumeshatoka
Msiba ushatokea tanzania kule south ni kwenda kuanua matanga tu, na wakirudi ndo wataanza kuhisi yale maumivu ya kuzidiwa alama 10 kwenye ligi wakati huo wakianza process mdogo mdogo za kumfukuza kocha wa madrid ambae kipimo chake cha mwisho ni derby ya kariakoo, kwa sasa wanamlia timing tu wamchinjie baharini!Baada ya kuona hawana cha Kupoteza na Wameshafungwa Orlando Pirates FC waliamua kucheza Mpira wao halisi ( halisia ) ambao waliuanza katika dakika ya 70 hadi ya 93 nikimaamisha ile ya 90 na zile 3 za Nyongeza.
Hivyo kwa Mapenzi mema na Klabu ya Simba nawaomba Wahusika Wote katika Benchi la Ufundi kama kweli tunataka Kuwakabili vilivyo Orlando Pirates FC Kwao katika Mechi yetu ya marudiano nao basi tuanze Kuwasoma Kiuchezaji ( hasa Kimbinu ) kuanzia dakika hizi nillizozitaja hapa nikiamini kuwa tunaweza Kuwaweza na hatimaye Kufuzu Nusu Fainali.
Mwisho nasisitiza tena na nauomba Uongozi wa Simba SC kuwa Timu isiwahi kwenda Johannesburg Afrika Kusini bali iende ( ifike ) Siku Moja tu kabla ya Mechi isipokuwa ile Advance Team tu ya akina Abbas na CEO Barbara Gonzalez ndiyo itangulie na naomba Kamati ya Umafia ( Mikakati ) ijipange vyema kwa hii Mechi kwani Orlando Pirates FC.
Kwa Hasira walizoondoka nazo hapa Tanzania nina uhakika watatufanyia kila aina ya Hujuma Kutudhoofisha hivyo hata Wachezaji wa Simba SC nao Wajengwe mapema Kisaikolojia na wajue kuwa hii ni Vita kweli na wanatakiwa Kupambana kwa Jasho na Damu hadi tone la mwisho na hatimaye tufanikiwe Kufuzu.
Kwani yale magoli mengi waliyofungana Kaizer Chief na Simba haikuwa robo fainali?Robo fainali nan utamchapa goli zote hizoooo kilamtu kajipanga sana angalia hata matokeo ya wenzetu
Kwani mlipochapwa na kaizer chiefs kule kwao 4 bila na mkarudi kwa mkapa mkashinda 3 bila yale magoli yalitokea wapi? Kilichowabeba kaizer chief ni ushindi wao mnene nyumbani vinginevyo walikuwa wanatupwa nje, ndo uelewe maana ya goli nyingi nyumbani vinginevyo utegemee muujiza tu kusonga mbeleRobo fainali nan utamchapa goli zote hizoooo kilamtu kajipanga sana angalia hata matokeo ya wenzetu
Umetoka ww bwana utopwinyoSimba tumeshatoka
wewe na mam*ko mshatoka na kila mtu anajua. Simba hakuna mazuzu.Simba tumeshatoka
hamchoki na stori zenu hizi ? Mmetoka kwa Mkapa mmeshahamia SA.Wale jamaa tangu mwanzo walikuwa wanacheza ili kutafuta draw tu sababu walijua simba wanakuwa hatari nyumbani tu.
Yaani walikuwa wanaosha hatari kuanzia nyuma bila kubutua kabisa kitu ambacho ni nadra Sana
viungo wao wale wawili wana footwork nzuri Sana Sana.
fikiria dakika zile chache walioanza kushambulia unaona jinsi walivyoboss eneo kubwa na takwimu zinaonesha wao ndio wamepiga pasi nyingi eneo la mbele la simba..
Acha tuone mkuu mimi naona simba hana nafasi.
Uko sahihi,wale jamaa lile ndio soka lao..sasa mechi ya marudiano ule msako utakua tangia dakika ya kwanza..na jinsi wachezaji wa simba wanavyokabia kwa macho..tutegemee over 1.5 kipindi cha kwanza..
Kwa asilimia kubwa nasimama hapa.
Angalau wangefika goli mbili wangekua na matumaini....sasa huko kwa madiba anaenda kuaga......hii comment siifuti.
Usijal mkuu ishauri wako nimeupokea
Pale kusini tutaenda na mbinu tuloanza nayo kipindi cha kwanza zaid yan tutawapa nafasi wao wacheze then tutawapiga mashambuliz ya kushtukiza.
Mungu atakuwa nasi tutafunzu
Uko sahihi,wale jamaa lile ndio soka lao..sasa mechi ya marudiano ule msako utakua tangia dakika ya kwanza..na jinsi wachezaji wa simba wanavyokabia kwa macho..tutegemee over 1.5 kipindi cha kwanza..